Toyota wamezindua EV sedan BZ7: Kwa msaada wa Mchina!

Toyota wamezindua EV sedan BZ7: Kwa msaada wa Mchina!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Toyota, wakongwe kutoka Japan waliokataa kuingia EV miguu yote, wamezindua EV sedan inayoitwa BZ7.
IMG_0711.jpeg

Tukumbuke BZ ni series ya EV kutoka Toyota ambazo amekua akishirikiana (co-develop) na Mchina.
IMG_0712.jpeg

This time, BZ7 ameshirikiana na GAC na kutumia battery za BYD.
IMG_0713.jpeg

Sida zaidi hatujapewa ila kwa size ni kubwa kuliko ata Camry, kwahiyo itakua full size sedan.

Kila lakheri Toyota.
 
Toyota, wakongwe kutoka Japan waliokataa kuingia EV miguu yote, wamezindua EV sedan inayoitwa BZ7.
View attachment 3159895
Tukumbuke BZ ni series ya EV kutoka Toyota ambazo amekua akishirikiana (co-develop) na Mchina.
View attachment 3159896
This time, BZ7 ameshirikiana na GAC na kutumia battery za BYD.
View attachment 3159897
Sida zaidi hatujapewa ila kwa size ni kubwa kuliko ata Camry, kwahiyo itakua full size sedan.

Kila lakheri Toyota.
Toyota!!,wako nyuma kiasi hicho!,wamezidiwa na koloni lao la zamani,ama kweli mchina kapiga hatua,ongera yake.
 
Naoma Toyo anataka aforce Hydrogen engines Sijui zitafanikiwa?
Vituo vyote vya hydrogen fuel vimefungwa Huko USA baada ya kukosa soko...Sera za marekani ni kuingia moja Kwa moja kwenye EV Tu hapa ndipo shida ilipo na USA ndiyo anaamua soko la technology liende vipi....naomba mchina aendelee kuwanyoosha hivihivi hadi warudi tena kwenye COMBUSTION ENGINE
 
Back
Top Bottom