Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Baada ya miaka 10, hatimaye best selling pickup kutoka Toyota imepata generation mpya.
Toyota Hilux generation ya tisa imezibduliwa mwezi huu wa kumi na moja, itakuja na options mbalimbali za engine, body, drive, na pia kutakua na EV na FCEV mchaguzi ni wewe.
Kwa kuanza, itakuja na model code AN220 na AN230, na either 2 doors au 4 doors pickup truck. Pia utachagua drive system ya RWD, 4WD au AWD kwa EV model.
Kwa Hilux ya engine, itakua na 2.7L 2TR-FE i4 Petrol yenye 160hp au Mild hybrid Diesel ya 2.8L 1GD-FTV Turbo i4 itakayotoa 200hp, zote zikiwa na either 6 speed manual au auto transmission.
Kwa option ya Hilux ya umeme (Hilux BEV), itakuja na electric motors mbili, moja mbele na nyingine nyuma, battery la 60kWh, lenye range ya 300km.
Bei ndogo kabisa ni 2WD kwa $50,000 na bei kubwa ni $65,000 zote ni MSRP sio bei za sokoni.
Hilux mpya zitaanza kuuzwa 2026 mapema.