Toyota

Toyota

lemky

Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
80
Reaction score
31
Wakuu, naombeni kuuliza ... ni gari gani mzuri aina ya Toyota kwa kuwa nayo hapa mjini na ambayo ipo very economy na isiyo zaidi ya M13 shilings ???
 
Too general mkuu labda uspecify zaidi labda isiyokula mafuta , nzuri kwa luxury or comfotability etc
 
ni gari gani mzuri aina ya Toyota kwa kuwa nayo hapa mjini ??
Inategemea na bajeti yako uliyo andaa.

Ni vyema ukasema ni M ngapi umeandaa, ili upewe pendekezo sahihi ya Toyota.
 
premio new model inafaa daana na ninazo mkuu zimebak mbili tu
 
ahsante mkuu ... ivi kati ya IST na SIENTA ipo zaidi ???
Itategemea na model, kama ist new shape ile ya kuanzia 2008 iko better kuliko sienta . Ila kama ni ile old model ni bora uende for sienta.
 
Wakuu, naombeni kuuliza ... ni gari gani mzuri aina ya Toyota kwa kuwa nayo hapa mjini na ambayo ipo very economy na isiyo zaidi ya M13 shilings ???
Mkuu pamoja na kushauriwa model ya gari hakikisha unanunua gari ambayo ipo kwenye hali nzuri kabsaaaa hapo ndo utaenjoy gari kula mafuta kidogo vinginevyo ukibugi hapo phone book yako itajaa namba za mafundi na utapoteza muda mwingi na utapoteza pesa nyingi.
 
Back
Top Bottom