Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na bajeti yako uliyo andaa.ni gari gani mzuri aina ya Toyota kwa kuwa nayo hapa mjini ??
ndio, isiokula mafuta sana na ilio na muonekano mzuri ...Too general mkuu labda uspecify zaidi labda isiyokula mafuta , nzuri kwa luxury or comfotability etc
isozidi M12Inategemea na bajeti yako uliyo andaa.
Ni vyema ukasema ni M ngapi umeandaa, ili upewe pendekezo sahihi ya Toyota.
sawa kiongozipremio new model inafaa daana na ninazo mkuu zimebak mbili tu
haina shida mkuuRactis
Kwahio hela ya 2007-2009 waweza pata hapo zitakufaa. Wastani wa 15km/L unaupata kirahisi ndani ya hio gari na ni 1.5L engineahsante kiongozi
ahsante mkuu ... ivi kati ya IST na SIENTA ipo zaidi ???Kwahio hela ya 2007-2009 waweza pata hapo zitakufaa. Wastani wa 15km/L unaupata kirahisi ndani ya hio gari na ni 1.5L engine
Toyota ISTWakuu, naombeni kuuliza ... ni gari gani mzuri aina ya Toyota kwa kuwa nayo hapa mjini na ambayo ipo very economy na isiyo zaidi ya M13 shilings ???
Itategemea na model, kama ist new shape ile ya kuanzia 2008 iko better kuliko sienta . Ila kama ni ile old model ni bora uende for sienta.ahsante mkuu ... ivi kati ya IST na SIENTA ipo zaidi ???
Mkuu pamoja na kushauriwa model ya gari hakikisha unanunua gari ambayo ipo kwenye hali nzuri kabsaaaa hapo ndo utaenjoy gari kula mafuta kidogo vinginevyo ukibugi hapo phone book yako itajaa namba za mafundi na utapoteza muda mwingi na utapoteza pesa nyingi.Wakuu, naombeni kuuliza ... ni gari gani mzuri aina ya Toyota kwa kuwa nayo hapa mjini na ambayo ipo very economy na isiyo zaidi ya M13 shilings ???