Mwanamakunda
Member
- Apr 1, 2021
- 19
- 91
TUACHE UNAFIKI, TOZO HIZI HAZINA MAUMIVU MAKALI, WANASIASA WALIOFELI WANATAFUTA KIKI ZA KISIASA
Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020, wanadhani tumesahau uhuni wao, wanadhani wananchi ni wajinga. Kwa taarifa yenu enyi wanasiasa mnaokesha mitandaoni kuhamasisha uasi dhidi ya kodi halali za serikali tambueni kodi hizo hazijaundwa wala kuanzishwa na Dkt Mwigulu bali ni bunge tukufu linalowakilisha wananchi waliowakataeni ninyi ndio wameunda tozo hizo ili ziendelee kuipendezesha nchi.
Hoja hii mliodandia ni mtumbwi wa vibwengo imewaacha uchi muda mrefu, hata huyo mfalme aliefitinika kule hai kilimanjaro wananchi wake mwenyewe walimkataa sembuse kuwapangia watanzania wote? Watanzania walishawakataa acheni utoto kwenye mambo muhimu.
Tafuteni ajenda za kuwapeleka za kuwarudisha ulingoni lakini hii mmekwama vibaya.