Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
JF team, SALAAM!
Nimeona hivi karibuni Serikali ikipitisha vitu vingi ambavyo ni mzigo kwa watanzania (matajiri kwa maskini). Nimejiuliza sana kwa hakika upitishaji wa vitu vya hovyo umeshamili sana.
= Kikokotoo kimepitishwa lkn watendewa ni pamoja na wabobezi wa masuala ya Sheria - hapa tulione taifa hili kama taifa lisilofikiria?
= Tozo zimekuja kimzahamzaha lkn mwisho wa siku zimeharalishwa na kuanza kutumika - hapa pia napata shida na wabobezi wa masuala ya Sheria - kwa nini watu wako kimya hivyo?
= Miamala ya simu, benki nayo imekuja kama utani utani lkn tayari fedha zimeanza kufyekwa - hivi kweli watanzania tumetulia as if hatuumii?
= Malipo ya nyumba kupitia malipo ya LUKU nayo imepenya huku watanzania wakiwa kimya - it's true kwamba SERIKALI imepitisha haya kwa ajili yetu makapuku?
Wanasheria fikirieni upya juu ya taalima zenu na ikiwezekana rudini upande wa wananchi. Lkn pia wananchi zindukeni.
Msakila M Kabende
Kakonko
Kigoma.