Tozo ni kufidia wizi wa mali za umma?

Tozo ni kufidia wizi wa mali za umma?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kila mwaka ripoti ya CAG anaonyesha wizi na ubadhilifu mkubwa wa fedha za wananchi unaoipunguzia serikali uwezo wake wa kuwahudumia wananchi wake kwenye elimu, afya, usafiri, nk kama anavyosema waziri wa fedha, Dr. Mwigulu.

Badala ya kudhibiti wizi na ubadhilifu kwenye vyanzo vya mapato Mwigulu anaona njia ya kufidia wizi huo ni kuongeza kodi na tozo kwa wananchi:

Sisi tulishajua nchi hii ina pesa nyingi baada ya hayati JPM kulisisitiza hilo mara nyingi tu enzi za uhai. Yeye hakukusanya tozo lakini bado alisisitiza nchi ina pesa nyingi sana, labda kwa sasa walamba asali wamekuwa wengi kupindukia hali inayopelekea walalahoi wakamuliwe hadi tone la mwisho la damu.​
 
Mh. Mwigulu anataka kutuaminisha kuwa bila hizo tozo nchi na mipango yote itakuwa grounded, hakuna chanzo kingine cha pesa, hakuna hata pesa hata moja ambayo inapotea lakini tu hazitoshi.
 
Nchemba acha kutuyumbisha Kama gari bovu...mara kejeli,matusi, kwani umejikuta wewe nani!??? Jiangalie sana, nafasi hiyo imekushinda ila basi. Tafadhali nirudishien tozo mliyonikata asubuhi kumbe mchana mnafuta.
 
Mnashindwa kudai hizi pesa badala yake mnakimbilia wanyonge walipe tozo
 
Back
Top Bottom