Tozo ya laini za simu kuanza mwezi ujao

Tozo ya laini za simu kuanza mwezi ujao

Hivi ni kweli?
IMG_20210719_111116_338.JPG
 
Serikali mfu ni ile inayofikiria kukomoa watu wake huyu mama apigwe chini tu.
 
Huyu mama anatembea na damu za watu mikononi mwake Sasa
Niliwahi kusanuliwa na mtu mwanamke akivaa uchui Ni hatari nikabisha
 
MONDAY JULY 19 2021

Wakati kelele za tozo ya miamala ya simu zikiendelea kuanzia Agosti mwaka huu, watumiaji wa simu nchini wataanza kuchangia bajeti kuu ya Serikali kupitia tozo ya laini za simu kwa kila anayeongeza salio la maongezi...
Halafu watakuja akina SHIGONGO kutuambia wamewasiliana na Rais ili tozo hili liondoke.

Halafu atakuja mtoa hoja mkuu ambaye mshahara wake haukatwi KODI, bwana ZUNGU, kutuambia Rais amesikia kilio na atalifanyia kazi...
 
Dar es Salaam. Wakati kelele za tozo ya miamala ya simu zikiendelea kuanzia Agosti mwaka huu, watumiaji wa simu nchini wataanza kuchangia bajeti kuu ya Serikali kupitia tozo ya laini za simu kwa kila anayeongeza salio la maongezi...
Kwahyo tunanyooshwa tusitumie simu ovyo
 
Mama kua makini kuna watu wanakuharibia
 
Matumizi mabaya ya kodi ambayo hayawanufaishi walipa kodi ndio chanzo cha matatizo.

Miradi inaanzishwa ambayo hainufaishi wananchi ila watawala.
 
Wabunge waanze kukatwa posho na wapunguziwe mshahara
 
Back
Top Bottom