The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
nadhani hii ni ilikuondoa uraibu wa kutumia sukari kama kule kwenye kamariSerikali imependekeza vyanzo vya ziada vya mapato kupitia Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 ili kugharamia Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote. Hatua hii itahusisha marekebisho ya sheria yatakayoongeza kodi na tozo kwenye bidhaa za sigara na sukari nchini.
Mabadiliko yaliyopendekezwa ni kama ifuatavyo:
Sigara: Ushuru wa bidhaa utaongezeka kwa Shilingi 20 kwa kila sigara 1,000 zinazozalishwa au kuingizwa nchini.
Sukari: Tozo ya Shilingi 10 itawekwa kwenye kila kilo moja ya sukari inayozalishwa ndani au inayoagizwa kutoka nje, ambapo makusanyo yake yatawasilishwa moja kwa moja kwenye Mfuko wa Bima ya Afya.
Hatua hizi zinatarajiwa kuongeza jumla ya Shilingi bilioni 7.5 zitakazotumika kuimarisha na kufanikisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi wote.
Pia soma: Gharama ya Bima ya Afya kwa wote ni Tsh. 150, 000 kwa kaya, wasio na uwezo kugharamiwa na serikali
Balaa...Tujiandae kuanza kununua 1kg kwa 4k
kama petroliTujiandae kuanza kununua 1kg kwa 4k
Tanzania haina tatizo la watu kutumia sukari kupitiliza. Sukari ni bidhaa ya gharama kama almasi. Sehemu yenye matatizo ya watu kutumia sukari kwa wingi ni nchi zilizoendelea. Tanzania kuna areas nyingi sana za kuongeza mapato. 1. Wapunguze wabunge na malipo. 2. Wapunguze utitiri wa viongozi kama wakuu wa wilaya nk 3. Wapunguze ununuzi wa magari ya kifahari na misafara ya viongozi 4, Asilimia 50 ya matumizi ya serikali inaishia kwenye ufisadi 5. Viongozi wachache kabisa wasafiri kwenye business class na kulala hotel za gharama 6. Tuache kujitutumua kwa mambo yasiyo na faida kwa taifa kama kuandaa mashindano makubwa etc... Yaani kuna areas nyingi mnonadhani hii ni ilikuondoa uraibu wa kutumia sukari
Najua lengo ni ku discourage matumizi ya sukari,ni vizuriSerikali imependekeza vyanzo vya ziada vya mapato kupitia Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 ili kugharamia Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote. Hatua hii itahusisha marekebisho ya sheria yatakayoongeza kodi na tozo kwenye bidhaa za sigara na sukari nchini.
Mabadiliko yaliyopendekezwa ni kama ifuatavyo:
Sigara: Ushuru wa bidhaa utaongezeka kwa Shilingi 20 kwa kila sigara 1,000 zinazozalishwa au kuingizwa nchini.
Sukari: Tozo ya Shilingi 10 itawekwa kwenye kila kilo moja ya sukari inayozalishwa ndani au inayoagizwa kutoka nje, ambapo makusanyo yake yatawasilishwa moja kwa moja kwenye Mfuko wa Bima ya Afya.
Hatua hizi zinatarajiwa kuongeza jumla ya Shilingi bilioni 7.5 zitakazotumika kuimarisha na kufanikisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi wote.
Pia soma: Gharama ya Bima ya Afya kwa wote ni Tsh. 150, 000 kwa kaya, wasio na uwezo kugharamiwa na serikali
Siku zote nimejitahidi kuacha kutumia sukari kwa sababu za afya nimeshindwa. Sasa hasira ya kodi ya serikali hii imenpa motisha mzuri wa kuacha sukari, maana najua hiyo kodi itafisadiwa tu na hawa viongozi kama walivyosema wanaweka tozo kwenye mafuta ili barabara ziwe zinakarabatiwa!Serikali imependekeza vyanzo vya ziada vya mapato kupitia Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 ili kugharamia Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote. Hatua hii itahusisha marekebisho ya sheria yatakayoongeza kodi na tozo kwenye bidhaa za sigara na sukari nchini.
Mabadiliko yaliyopendekezwa ni kama ifuatavyo:
Sigara: Ushuru wa bidhaa utaongezeka kwa Shilingi 20 kwa kila sigara 1,000 zinazozalishwa au kuingizwa nchini.
Sukari: Tozo ya Shilingi 10 itawekwa kwenye kila kilo moja ya sukari inayozalishwa ndani au inayoagizwa kutoka nje, ambapo makusanyo yake yatawasilishwa moja kwa moja kwenye Mfuko wa Bima ya Afya.
Hatua hizi zinatarajiwa kuongeza jumla ya Shilingi bilioni 7.5 zitakazotumika kuimarisha na kufanikisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi wote.
Pia soma: Gharama ya Bima ya Afya kwa wote ni Tsh. 150, 000 kwa kaya, wasio na uwezo kugharamiwa na serikali
Wapo tena wengi sana, those conscious are just not manyHivi bado kuna watu wanakunywa chai na sukari?
Mhm , sukari kwenye chai au tangawizi inaniboa kama sina asali napotezea tuWapo tena wengi sana, those conscious are just not many
Sukari ni anasa.... Kuikwepa. Ni kwepa mengiSerikali imependekeza vyanzo vya ziada vya mapato kupitia Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 ili kugharamia Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote. Hatua hii itahusisha marekebisho ya sheria yatakayoongeza kodi na tozo kwenye bidhaa za sigara na sukari nchini.