Tozo za Majumbani ni kero

Tozo za Majumbani ni kero

Swala Ulinzi Shirikishi.

Tanzania nzima tunaambiwa tuna Askari wa Jeshi la Polisi wasizidi Laki Name tu. Maana yake Ni kwamba kila Askari mmoja anawajibiga kuhidumia raia sio chini ya Laki mbili.

Ulinzi Shirikishi kwanza nawwpongeza vijana wanaojitolea huko mitaani kufanya zoezi hiki la ulinzi, Wengi wao wanalipwa posho isiozidi 50,000/ ambayo kimsingi haikidhi mahitaji Kama ndio sehemu pekee anayotegemea. Na Risk ya wao kupata madhara ya kujeruhiwa ama Kuuwawa huko nje usiku Ni Kubwa kuliko wewe ulielala na kuchangia 3000/ per month sawa na Kiasi Cha 100/ kwa siku.

Nilipikua naishi mwanzoni Mitaa ya Tabata tulikua tunachangia 5000/ lakini kwa kuthamini mchango wao nilikua nawiwa kulipa 1000/ per month, Sina pesa Ila nithamini wanachofanya.

Kuhusu kukuli fund ukiibiwa au ukineruhiwa , Tujiulize upande wa Pili wao wakiuuwawa au kujeruhiwa Ni Serikali au wewe utawa rufund??? Tabata Kule Kuna kisa kimoja Cha kijana(Polisi Jamii) wa 23yrs Kuuwawa na vibaka akijaribu kuzuia uharifu, Ni familia yake ilipata hasara.
 
Ni kweli tuanze kulipia 10000/ taka na ulinzi ili Serikali nayo iapate
Yaani kuwepo na bei sawa. Kama ni elfu 10 kwa mwezi basi kila nyumba ilipie bila kuangalia hapa ni Dar ama Kigoma.

Na hiyo pesa ilipwe kutumia control number.
 
Swala Ulinzi Shirikishi.

Tanzania nzima tunaambiwa tuna Askari wa Jeshi la Polisi wasizidi Laki Name tu. Maana yake Ni kwamba kila Askari mmoja anawajibiga kuhidumia raia sio chini ya Laki mbili.

Ulinzi Shirikishi kwanza nawwpongeza vijana wanaojitolea huko mitaani kufanya zoezi hiki la ulinzi, Wengi wao wanalipwa posho isiozidi 50,000/ ambayo kimsingi haikidhi mahitaji Kama ndio sehemu pekee anayotegemea. Na Risk ya wao kupata madhara ya kujeruhiwa ama Kuuwawa huko nje usiku Ni Kubwa kuliko wewe ulielala na kuchangia 3000/ per month sawa na Kiasi Cha 100/ kwa siku.

Nilipikua naishi mwanzoni Mitaa ya Tabata tulikua tunachangia 5000/ lakini kwa kuthamini mchango wao nilikua nawiwa kulipa 1000/ per month, Sina pesa Ila nithamini wanachofanya.

Kuhusu kukuli fund ukiibiwa au ukineruhiwa , Tujiulize upande wa Pili wao wakiuuwawa au kujeruhiwa Ni Serikali au wewe utawa rufund??? Tabata Kule Kuna kisa kimoja Cha kijana(Polisi Jamii) wa 23yrs Kuuwawa na vibaka akijaribu kuzuia uharifu, Ni familia yake ilipata hasara.
Ukitembea usiku mitaa ya njiro arusha, ukikutana na sungusungu ujue mbele unaenda kukutana na wakabaji!

Kitu hujui sungusungu ni nusu mwizi na robo ndo mlinzi, hawaachagi fursa yeyote inayotokea usuku.

Wanaolinda usiku ni wale wahuni unaowajua mchana.
 
Back
Top Bottom