Tozo za Miamala: Tunaelekea kuzungumza lugha moja

Kwani hii Rugha moja na Mataga wa CCM wamo au inawahusu Chadema tu?
 
Kutesa kwa zamu
 
Mama endelea kuupiga mwingi... Uzalendo siyo kusoma historia ya nchi na contemporary issues bali ni kulipa kodi ya uzalendo kwa hiari. Ila mi naona hili la kodi za uzalendo na nalo linaingia kwenye historia kama sehemu ya contemporary issues.
 
Na kazi iendeleee
 
Hivi kesho namba moja akirudi akasema tunabidi hii ni kodi wanatafuta ela ya chanjo ya Covid nina uhakika kuna watu waliokengeuka leo watakuja kuitetea hii hii kodi🤣🤣
Mkuu mawazo yako so poaaah🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa hili la tozo za miamala limemshushia mama credit huku mtaani hadi sio poa. Kila mtu anaanza kumzungumzia vizuri hayati. Kama ni karata, basi wamelamba karata dume. Maana naamini kabisa haya yalipangwa ili zile sifa mbaya za hayati zipotezwe maana ilikua ni mbaya kila kona watu walirusha mawe juu yake japo hata kimvuli chake hakipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…