Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kishuga na baba ya muziki anaishi kwa matumaini tu hata sijui hii Corona inamkosa vipi wakati imeshatengenezewa mazingira ya kupita nayesupika ana maradhi sugu
Kwa kweli Mwigulu kaonekana mbichi!Mwigulu hapaswi kuwepo kwenye ofisi yoyote ya Umma
Mkuu inatafutwa hela ndefu ya ile miradi mikubwa.Ni ulaghai kuwataka kuwaaminisha wananchi kuwa tozo zitawapatia huduma za jamii.
Ikumbukwe kuwa kodi lukukii, mikopo na misaada kibao kwa miongo kadhaa vimeshindwa kufua dafu
Ni mnafiki sana yule jamaaMwigulu hapaswi kuwepo kwenye ofisi yoyote ya Umma