Tozo za simu: Bunge limeaibika!

Tozo za simu: Bunge limeaibika!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Swala la tozo za simu limeingia mkenge.

Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu!

Aibu kwa Ndugai
Aibu kwa Bunge
Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi
Aibu kwa Zungu!

Back to square one.
Bado Tunataka hela za SGR , Stiglaz!
 
Kwa upande mmoja ni sawa kuwalaumu lakini wabunge wote wako pale kutokana na maslahi yao, kweli kwa katiba hii ambayo ina mpa mamlaka rais kulivunja bunge iwapo watakataa kupitisha bajeti nani yuko tayari kwa hilo?

Ukizingaltia wengi wao uingiaji wao bungeni ni wenye utata tupu!!ndio maana watu wakizungumzia katiba mpya wanaoneka wana CHOKOCHOKO!!hapa hatuna bunge hata lisipokuwepo hakuna athari yoyote ile sana sana, ni faida tu .
 
Back
Top Bottom