Tozo za simu: Bunge limeaibika!

Ifike mahali kuwe na kura za maoni kwenye mambo ambayo bunge inaona yatagusa maslahi ya Watanzania kabla ya kupitishwa na kuwa sheria
 
Kwan tuna bunge bali waimba mapambio wanaolipwa vizuri bila kukatwa kodi
 
Nilishangaa sana nanii naye mbunge nikacheka kimoyomoyo na umejishusha chini kama alivyojitega kwa maneno ya kinywa chake. Hongera anyway.
 
Hapa mie naona ni sawa na kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe! Mtu anatengeneza 'political mileages' kwa kutengeneza tatizo na kulitatua😜!
 
Aibu kwa Ndugai
Aibu kwa Bunge
Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi
Aibu kwa Zungu!
AIBU KWA MAWAZIRI HUSIKA NA WWDANGANYIKA WOTE WANAOSHADADIA HILI JAMBO KWA KUITETEA SIRIKALI YA CHAMA CHA MAJAMBAZI
 
waBunge wa serikali huwa sio weledi kama wabunge waliochaguliwa na wananchi.
 
Mwigulu ni waziri pekee katika nchi hii aliyeapishwa uani kwa Marehemu Mzee Pombe huko Chato tena kwenye viti vya plastiki vile vya cocacola.

 
Aibu kubwa sana kwa Spika, baraza la mawaziri, wabunge kwa ujumla wao na kamati ya bunge ya bajeti
Bunge letu la kuteuliwa 100% na Mwendazake, haya ndio matokeo yake!
Halina mvuto
Halina mawazo mbadala
Kinacholetwa mezani ndio hicho hicho hayaa
Mkazo wa wabunge ni posho zao tu na si kinginecho.

Tunataka uchaguzi ufanyike sasa ili wajue wananchi tumesawachoka hata kabla hawajamaliza mwaka!
 
bunge la ndugai kwa upande wangu ndio bunge dhaifu kuwai kulishuhudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…