Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #61
Bunge tunalotaka, kitu kijadiliwe mpaka kieleweke!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly.Walichaguliwa na kupelekwa bungeni kama kamati ya ulinzi.
Nilishangaa sana nanii naye mbunge nikacheka kimoyomoyo na umejishusha chini kama alivyojitega kwa maneno ya kinywa chake. Hongera anyway.Swala la tozo za simu limeingia mkenge.
Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu!
Aibu kwa Ndugai
Aibu kwa Bunge
Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi
Aibu kwa Zungu!
Back to square one.
Bado Tunataka hela za SGR , Stiglaz!
Hapa mie naona ni sawa na kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe! Mtu anatengeneza 'political mileages' kwa kutengeneza tatizo na kulitatua😜!Swala la tozo za simu limeingia mkenge.
Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu!
Aibu kwa Ndugai
Aibu kwa Bunge
Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi
Aibu kwa Zungu!
Back to square one.
Bado Tunataka hela za SGR , Stiglaz!
Aibu kwa NdugaiSwala la tozo za simu limeingia mkenge.
Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu!
Aibu kwa Ndugai
Aibu kwa Bunge
Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi
Aibu kwa Zungu!
Back to square one.
Bado Tunataka hela za SGR , Stiglaz!
Bunge letu la kuteuliwa 100% na Mwendazake, haya ndio matokeo yake!Aibu kubwa sana kwa Spika, baraza la mawaziri, wabunge kwa ujumla wao na kamati ya bunge ya bajeti