Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kweli ni aibu kubwa kwa bunge lisilotetea wananchi!
Haliwezi kutetea wananchi maana hawako bungeni kwa ridhaa ya wananchi, bali kwa maagizo ya serikali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli ni aibu kubwa kwa bunge lisilotetea wananchi!
Kwenye ngazi ya urais sio rahisi ki hivyo kwani yeye hata asipopata kura nyingi , bali tume ya uchaguzi tu ikishamtangaza tu kuwa ndio mshindi biashara imekwisha, hakuna pa kwenda, lakini kwenye ubunge mtu anaweza kwenda mahakamani na ubunge ukatenguliwa!!au akavunja bunge yeye uhakika wa kurudi ni 100% wabunge hao wote wakapigwa chini kwenye kura za maoni akaweka wapya na ukafanyika umafia kama 2020!!akawa amewakomoa!!siasa za nchi za kiafrika unazijua wewe?!!rais akivunja bunge, unaitishwa uchaguzi mwingine ambapo hata yeye mwenyewe anakuwa hana hakika ya kushinda. Kwa hiyo hatua ya kuvunja bunge kutokana na kutopitisha bajeti siyo one sided, bali ni upanga unakata pande zote , yaani kwa wabunge na rais mwenyewe pia.
Pumba tupu!Kwenye ngazi ya urais sio rahisi ki hivyo kwani yeye hata asipopata kura nyingi , bali tume ya uchaguzi tu ikishamtangaza tu kuwa ndio mshindi biashara imekwisha, hakuna pa kwenda, lakini kwenye ubunge mtu anaweza kwenda mahakamani na ubunge ukatenguliwa!!au akavunja bunge yeye uhakika wa kurudi ni 100% wabunge hao wote wakapigwa chini kwenye kura za maoni akaweka wapya na ukafanyika umafia kama 2020!!akawa amewakomoa!!siasa za nchi za kiafrika unazijua wewe?!!
Wameshatuona watz, ni pimbi tu ni miaka mingapi wamekuwa wakituaminisha kuwa wanapunguza kodi kwenye gesi ili kila mtanzania atumie gesi kupikia ili kuachana na mkaa, na kipindi wanapigia chapuo mradi wa gesi asilia wa Mtwara, kuwa ni neema kwa Watz, hadi leo nini kimetokea?!!nchi hii hakuna kiongozi mwenye uchungu na wanyonge, jitu linakwambia eti tozo hizo zitatumika kujenga vituo vya afya 900!!leo tu panadol kwenye hospital ni tabu!!eti maboma ya shule 1000!!hao watoto leo hawana madawati!!hakuna lolote na hizo pesa wanahangaika nazo ni za kumalizia hayo ma miradi waliyoyaanzisha kwa kutafuta sifa tu, na sio kitu kingine!!WANA MHAHO!!kwani mambo mengi ya muhimu yalisimama , mfano ajira, nyongeza ya mishahara, kulipa madeni ya wazabuni, sasa Mama, amejitahidi kuyafungua, kushituka huku, pesa ndio hivyo tena, anafanyaje?!Ni ulaghai kuwataka kuwaaminisha wananchi kuwa tozo zitawapatia huduma za jamii. Ikumbukwe kuwa kodi lukukii, mikopo na misaada kibao kwa miongo kadhaa vimeshindwa kufua dafu
Wewe ndio hujui kitu yaani kwa akili zako kabisa Rais wa TZ, anaweza kuhofia uchaguzi kuwa eti akilivunja bunge anaweza asirudi madarakani?kwa katiba hii ?!!sheria ipi unayoizungumzia wewe?!!bunge ambalo halina mizizi yoyote limeelea tu juu , juu, litakuwa ni bunge?hapa kuna bunge au ni kamati ya chama tu?!!Pumba tupu!
Unaongea hisia bila kuangalia sheria
Kwa katiba hii iliyopo Rais atarudi akiwa pamoja na matakataka yote ayatakayo kwa maslahi yake.rais akivunja bunge, unaitishwa uchaguzi mwingine ambapo hata yeye mwenyewe anakuwa hana hakika ya kushinda. Kwa hiyo hatua ya kuvunja bunge kutokana na kutopitisha bajeti siyo one sided, bali ni upanga unakata pande zote , yaani kwa wabunge na rais mwenyewe pia.
Ha ha ha ha haaaaaaaaa bunge la ccm hilo,"WAPINZANI WALICHELEWESHA SANA MAENDELEO,KILA KITU KUPINGA" By Magufuri the hero of ccm.Swala la tozo za simu limeingia mkenge.
Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu!
Aibu kwa Ndugai
Aibu kwa Bunge
Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi
Aibu kwa Zungu!
Back to square one.
Bado Tunataka hela za SGR , Stiglaz!
FACT.Kile kikundi cha mipasho tu... Wakiongozwa na malkia wao wa mipasho... Badala ya kuchakata bajeti walikuwa bize kumponda Lisu na Mbowe...
Sijui JPM alitumia vigezo gani kuwateua hawa viti maalum... Kweli kabisa aliona hawa ndo wanafaa?... Au ni kweli kuwa alikuwa anajiandalia utawala wa kudumu... ndo sababu akaamua kujaza vilaza bungeni ili apitishe yake kilaini?
Nadhubutu kusema kwa sauti kubwa kuwa binafsi nina uwezo mkubwa wa kufikiri, kung'amua na kutenda kuliko 90% ya aina hii ya wabunge wakiongozwa na yule mdemkaji wao anayekaa pale mbele ndani ya joho ka blue na maua ua.
Huyo jamaa sijui amewahi kufanikisha kipi kwenye wizara yoyote.
Suala la kifurushi bunge letu lilikuwa kimya.Hatuna haja ya kuwa na bunge kama tunaweza kuisimamia, kuishauri na kuiwajibisha serikali sisi wananchi wenyewe. Naona wabunge wapo upande wa serikali. Sioni umuhimu wao tuseme tu ukweli
Kaone kalivyojikunyata!Alama kuu ya Bunge la JMT.View attachment 1860350
Walichaguliwa na kupelekwa bungeni kama kamati ya ulinzi.Haliwezi kutetea wananchi maana hawako bungeni kwa ridhaa ya wananchi, bali kwa maagizo ya serikali.
Aibu kubwa sana kwa Spika, baraza la mawaziri, wabunge kwa ujumla wao na kamati ya bunge ya bajetiSwala la tozo za simu limeingia mkenge.
Bunge sasa limeonekana kuwa Rubber Stamp ya mawazo mabichi ambayo pamoja na kuwa na broad based taxation, wananchi wamekuja juu!
Aibu kwa Ndugai
Aibu kwa Bunge
Aibu kwa wabunge wasiolipa kodi
Aibu kwa Zungu!
Back to square one.
Bado Tunataka hela za SGR , Stiglaz!