Tozo za simu kuondolewa ni nini hatima ya bajeti kuu ya Serikali Kwa kipindi Cha 2021/22

Tozo za simu kuondolewa ni nini hatima ya bajeti kuu ya Serikali Kwa kipindi Cha 2021/22

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Ni nini hatima ya bajeti Kuu ya serikali baada ya kuondolewa Kwa tozo za simu?

Ni nini hatima ya miradi ya maendeleo ndani ya Halmashauri nchini?

Ni nini hatima ya miradi mikubwa mfano SGR?

Ni nini hatima ya wabunge wa CCM kwenye majimbo Yao Kwa kashfa hii ya tozo za simu?

Ni nini hatima ya waziri wa Fedha?

Ni nini hatima ya Katiba mpya?
 
Ni nini hatima ya waziri wa Fedha?
Ni nini hatima ya Katiba mpya?
Waziri wa Fedha na Katiba Mpya, Haya Mawili Ndio Tuanze nayo; Tuanze na Waziri wa Fedha Kiti Kinampwaya Apishe Mara Moja, then Katiba Mpya Kwa Vile ni Mchakato Twende Mdogo mdogo Hadi Ipatikane ndani ya Miaka Miwili. Hii ni Ili 2025 Itumike Kulipatia Taifa Viongozi Waliochaguliwa na Wananchi. Tusirudie Umagufulism "One Man show" Madhara yake tumeyaona mifano ni mingi..
 
Serikali imekosa ubunifu..imekosa vichwa vikakaa pamoja na kubuni chanzo cha mapato kwa ajili ya hiyo miradi.
Kuna watu na PhD zao mle bungeni wala hawaumizi vichwa kubuni chanzo vya mapato.wao kila mwenzao atekurupuka wanaunga mkono bila kufikiri.
Wewe mwenye kichwa umebuni kitu gani?
 
Hao kuna hela walikuwa wanaitaka tuu , wakishaipata chap kidog wanafuta tozo
 
Waziri wa Fedha na Katiba Mpya, Haya Mawili Ndio Tuanze nayo; Tuanze na Waziri wa Fedha Kiti Kinampwaya Apishe Mara Moja, then Katiba Mpya Kwa Vile ni Mchakato Twende Mdogo mdogo Hadi Ipatikane ndani ya Miaka Miwili. Hii ni Ili 2025 Itumike Kulipatia Taifa Viongozi Waliochaguliwa na Wananchi. Tusirudie Umagufulism "One Man show" Madhara yake tumeyaona mifano ni mingi..
Tuwashinikize kwanza wabunge wapeleke hati ya dharula wakaifute sheria ya KINGA kwa viongozi huku mdogomdogo wa katiba.
 
E6uN9heXMAwP8VU.jpg

Waziri wetu kasahau wapi alipotoka leo anatuambia kama mambo ni magumu tuhamie burundi.
 
Back
Top Bottom