peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Waziri wa Fedha na Katiba Mpya, Haya Mawili Ndio Tuanze nayo; Tuanze na Waziri wa Fedha Kiti Kinampwaya Apishe Mara Moja, then Katiba Mpya Kwa Vile ni Mchakato Twende Mdogo mdogo Hadi Ipatikane ndani ya Miaka Miwili. Hii ni Ili 2025 Itumike Kulipatia Taifa Viongozi Waliochaguliwa na Wananchi. Tusirudie Umagufulism "One Man show" Madhara yake tumeyaona mifano ni mingi..Ni nini hatima ya waziri wa Fedha?
Ni nini hatima ya Katiba mpya?
Wewe mwenye kichwa umebuni kitu gani?Serikali imekosa ubunifu..imekosa vichwa vikakaa pamoja na kubuni chanzo cha mapato kwa ajili ya hiyo miradi.
Kuna watu na PhD zao mle bungeni wala hawaumizi vichwa kubuni chanzo vya mapato.wao kila mwenzao atekurupuka wanaunga mkono bila kufikiri.
Alafu sisi sisi wananchi wanyonge ndio tutakamuliwa tena kupitia kodi zetu ili kujenga jengo jipya la bunge baada ya lile la awali kulitia kibiriti.Nchi zinazojitambua wangeshaenda kuchoma jengo la bunge.
Hao kuna hela walikuwa wanaitaka tuu , wakishaipata chap kidog wanafuta tozo
Tuwashinikize kwanza wabunge wapeleke hati ya dharula wakaifute sheria ya KINGA kwa viongozi huku mdogomdogo wa katiba.Waziri wa Fedha na Katiba Mpya, Haya Mawili Ndio Tuanze nayo; Tuanze na Waziri wa Fedha Kiti Kinampwaya Apishe Mara Moja, then Katiba Mpya Kwa Vile ni Mchakato Twende Mdogo mdogo Hadi Ipatikane ndani ya Miaka Miwili. Hii ni Ili 2025 Itumike Kulipatia Taifa Viongozi Waliochaguliwa na Wananchi. Tusirudie Umagufulism "One Man show" Madhara yake tumeyaona mifano ni mingi..