TP Mazembe disqualified from African Champions League

TP Mazembe disqualified from African Champions League

mkuu nimekuwa hapa jf tangu asubuhi sikuiona thread inayozungumzia issue hii labda ni kutokana na kimchina changu pole kama umekwazika lakini lengo ni moja tu yaani kuhabarishana..
Ni bora pia angeweka link ya Invisible aloweka ili watu wengine waweze kuiona kuliko kulalama!
 
Hii ni kiboko Mkuu na ni bahati mbaya sana kwetu Simba maana timu ilikuwa likizo na kwa uzoefu wangu mdogo tu najua ni vigumu kujipanga kwa hii game labda kwa msaada wa TP Mazembe wenyewe!

Yaani TP Mazembe wawasaidie SImba kukamilisha mpango wa kuiua TP Mazembe ???? :biggrin1::biggrin1::biggrin1:

Acha masihara mkuu.

Hapa ni kwamba, kama ulivyosema, Simba wamekubali kutumika kwa interest za waarabu.

Waarabu wanajua haitakuwa rahisi kwao kuitoa TP Mazembe ila sasa wana furaha sana. Tena si ajabu hata mpango wa maamuzi haya ya CAF umechochewa na waarabu zaidi. Sasa Simba watacheza mechi moja na waarabu (yaani watatoewa tu) then watarudi pale Kariakoo kuendeleza libeneke la Ndimbo.

Sasa kombe litaenda uarabuni, AL Ahly itabeba naona
 
Upuuzi huu, soka haiamuliwi mezani bali uwanjani, wanakera sana hawa.
 
Duh! hapa nadhani simba wakate tena rufaa kuomba tp mazembe waendelee tu!
 
Duu ni kweli aiseee sasa simba itaweza kweli??labda miujiza itokee maana hawana wachezaji kabisa
 
Tusitegemee Simba kufanya miujiza ndani ya wiki mmoja .Je hawakujua kuwa rufaa yako ilikuwa inasikilizwa kwanini wasingeendelea na kambi hadi majbu yatolewe?
 
Rekodi yetu na waarabu sio mbaya sana. Upepo ukiwa upande wetu naamini tutashinda... Mungu Ibariki SIMBA!
 
mbio za Simba zitaishia ukingoni next week.................................and justice will ultimately be served...................
 
Yaani TP Mazembe wawasaidie SImba kukamilisha mpango wa kuiua TP Mazembe ???? :biggrin1::biggrin1::biggrin1:

Acha masihara mkuu.

Hapa ni kwamba, kama ulivyosema, Simba wamekubali kutumika kwa interest za waarabu.

Waarabu wanajua haitakuwa rahisi kwao kuitoa TP Mazembe ila sasa wana furaha sana. Tena si ajabu hata mpango wa maamuzi haya ya CAF umechochewa na waarabu zaidi. Sasa Simba watacheza mechi moja na waarabu (yaani watatoewa tu) then watarudi pale Kariakoo kuendeleza libeneke la Ndimbo.

Sasa kombe litaenda uarabuni, AL Ahly itabeba naona

Hilo ulosema lina uhalisia ndani yake
 
Simba Oyee! Tunaendelea kuvunja rekodi ya Ndala kwa mbali. tuliwatoa mabingwa Zamalek miaka ile na sasa Mazembe tena (potelea mbali hata kama ni mezani ..... ushindi ni ushindi tu)
 
Ng'ombe wa masikini hazai!
Kwa hii ya Simba, usemi huu nadhani itabidi tuuangalie upya. Chamsingi hapa ni kwa Simba kuwashirikisha wasaidizi wa aliyekuwa kocha mkuu (Phiri), wanaijua simba hii vizuri kuliko huyu Basena ambaye nadhani cha mno alichofanya ni kusaini mkataba wa kuifundisha klabu yetu.
Rage naye awe na heshima kwa wafanyakazi wa simba sio ulimbukeni wa kuwaita makarani
 
Kipa asiwe Kaseja, nshakosa imani naye sana huyu,,,

Ona sasa mashabiki wa Simba wanavyochekesha??!! :biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Timu yenyewe haipo sasa hivi, halafu eti golini asikae Kaseja???!!!!
Akae nani sasa, Aden Rage aliyechongea TP Mazembe CAF????
 
Hahaha, mkuu hii haikwepeki.

Simba damu hapa, mficha maradhi kifo humuumbua. Tatizo hatuna timu, inaudhi sana kuukiri ukweli huu!
 
Kwa hii ya Simba, usemi huu nadhani itabidi tuuangalie upya. Chamsingi hapa ni kwa Simba kuwashirikisha wasaidizi wa aliyekuwa kocha mkuu (Phiri), wanaijua simba hii vizuri kuliko huyu Basena ambaye nadhani cha mno alichofanya ni kusaini mkataba wa kuifundisha klabu yetu.
Rage naye awe na heshima kwa wafanyakazi wa simba sio ulimbukeni wa kuwaita makarani

Mkuu
Muda hauruhusu
Wachezaji wamesambaratika, wengine wanatuhumiwa kuuza ubingwa, wengine wameuzwa, kocha katimuliwa, Afisa Habari kajiuzuru, timu haifanyi hata mazoezi ya mchangani . . . . then mkaitoe Wydad Casablanca ambayo, mbali na kwamba imekamilika kitimu na kimazoezi ilitolewa kwa mbinde na TP Mazembe 2 - 1????

Kama vile haitoshi huyu Rais wa CAF, Issa Hayatou nae anatuhumiwa kupokea mlungula kutoka kwa waarabu wakati wa kuteua mwandaaji wa Kombe la Dunia 2022 ambaye amepatikana ni Qatar, sasa usafi wa CAF si mashaka matupu???
 
IN ASSOCIATION WITH

Page last updated at 13:48 GMT, Saturday, 14 May 2011 14:48 UK

_52722611_mazembe_triumph_2010.jpg
Mazembe are the African Champions League holders Reigning African champions TP Mazembe of DR Congo have been disqualified from the Champions League.
The Confederation of African Football (Caf) took action after a complaint from Tanzanian side Simba about the eligibility of Janvier Besala Bokungu.
Mazembe beat Simba 6-3 on aggregate in the second round of the tournament.
Simba will play Morocco's Wydad Casablanca, who lost to Mazembe in the third round, for a place in the group stages of the tournament.
The one-off game will be played at a neutral venue next week.
Mazembe have won the Champions League for the last two years and reached the final of the Club World Cup last season, losing 3-0 to Italians Inter Milan in the final.
Bokungu, a 22-year-old Kinshasa-born defender, was transferred from Mazembe to Tunisian club Esperance in 2007 and rejoined the Congolese club this year.
Reports say he then broke a contract with the Tunis team that runs until June this year, but a Mazembe official insisted the Bokungu transfer was legal.
"Janvier properly revoked his contract with Esperance and Mazembe have no problem with the player or his former club. He was acquired after a mutual agreement," Mazembe general manager Frederic Kitengie told reporters
 
Hahaha, mkuu hii haikwepeki.

Simba damu hapa, mficha maradhi kifo humuumbua. Tatizo hatuna timu, inaudhi sana kuukiri ukweli huu!

Mwambieni Rage akate rufaa tena waruhusu TP Mazembe kuendelea na michuano.
Simba ilivyo sasa haiwezi kutoa ushindani wowote wa maana, wametimua kocha, wameuza wachezaji, wengine wamewekwa kiti moto . . . .
 
Back
Top Bottom