TP Mazembe have made history

Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2007
Posts
2,802
Reaction score
614
TP Mazembe have made history tonight by becoming the first African team to reach the final of the FIFA Club World Cu... http://d3w.io/h4wMBN
 
It was a sweet victory against the 2006 reigning World Club Champions Internacional.........................a 2-0 is a resounding achievement......................May the Lamighty God help them bring the Cup back to Africa.......................that feat may inspire the Africa continent to lift the World Cup comes 2014.....................
 
Hapo wachezaji lazima watakuwa wamejitafutia soko ulaya
 
hivi hawa si ndo walimpasua refa kwa kungfu an karate kule uganda aunakosea?
 
'timu nzima ni ya kiafrika...kocha ni msenegali'...tuachane na dhana kuwa kocha lazima awe mzungu ili tufanikiwe
 
so happy for them. Congolese wapo ahead ya sisi tutake tusitake pamoja na kutamba na amani yetu ya kichina lkn hatujafanya lolote lka maana zaidi ya ufisadi.
 
Fainali watakutana na mshindi kati ya Inter Milan na Seongnam Ilhwa Chunma
 
daah!sijui lini tutafikia kucheza level hiyo....big up T.P Mazembe
 
hivi hawa si ndo walimpasua refa kwa kungfu an karate kule uganda aunakosea?
Kwenye Soka la CECAFA ambako "mshindi lazima apatikane" utarusha tu ngumi.Ukifunga goli zuri refa anakataa,ukifungwa la utata refa anashangilia, ukimuuliza refa kwa nini anashangilia goli la timu pinzani anakuambia "it is a goal every referee would love",na kadi nyekundu juu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…