Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio hawa hawahivi hawa si ndo walimpasua refa kwa kungfu an karate kule uganda aunakosea?
Kwenye Soka la CECAFA ambako "mshindi lazima apatikane" utarusha tu ngumi.Ukifunga goli zuri refa anakataa,ukifungwa la utata refa anashangilia, ukimuuliza refa kwa nini anashangilia goli la timu pinzani anakuambia "it is a goal every referee would love",na kadi nyekundu juu!!!!hivi hawa si ndo walimpasua refa kwa kungfu an karate kule uganda aunakosea?