TP Mazembe huenda likawa daraja la Simba SC Klabu Bingwa Afrika

Simba hatujawahi mfunga huyu hata tuloge vp
 
CR Belouizdad na Mamelodi Sundowns mechi itapigwa uwanja wa Mkapa baada ya CR Belouizdad ombi lao kukubaliwa na Wizara ya Michezo na TFF.

Mechi ya kwanza iliahirishwa kutokana na Algeria kuwa na sheria kali kuhusu Covid 19.
TFF wamefanya jambo jema sana kukubali.
Hapo lazima waache mpunga mrefu
 
endapo Timu ya Algeria Belouzdad na Tp-mazembe mmojawapo akakutana na Simba robo fainali, naiona kabisa Simba ikifuzu nusu fainali.
hili kundi (B) Mamelod kapata mserereko na anauwezekano wa kujikuaanyia points 14-18
Mpira hauchwezi mdomoni kua na akiba ya maneno
 
TFF wamefanya jambo jema sana kukubali.
Hapo lazima waache mpunga mrefu
Yaani nimewaza mbali sana, watakodi magari, hoteli, misosi na pia mechi itakuwa na mashabiki ila wao hawatachukua hata mia ya gate collection, halafu tff wasichaji bei kubwa kutumia uwanja ili na wengine wavutike kuja
 
Waeleze hao njemba......
Wanajiona washamaliza kila kitu!!!
Wewe ngoja Ell Malek (wanaoonekana vibonde) wawagonge ndani nje ndio watajua hawajui.....
Kundi bado bichi
 
Yaani nimewaza mbali sana, watakodi magari, hoteli, misosi na pia mechi itakuwa na mashabiki ila wao hawatachukua hata mia ya gate collection, halafu tff wasichaji bei kubwa kutumia uwanja ili na wengine wavutike kuja
Kuna rate ya kukodi viwanja pamoja na bima.
Baada ya mechi kiwanja kinakuwa kimeharibika sana
 
Mpira hauchwezi mdomoni kua na akiba ya maneno
uko sahihi ila Tp mazembe now amekuwa mzembe(mbovu) mf. akakutana na Simba robo fainal atapigwa kipigo cha mbwa koko.
tp mazembe wameuza wachezaji nje wakasahau kufanya replacement, hii ndo inawacost
 
uko sahihi ila Tp mazembe now amekuwa mzembe(mbovu) mf. akakutana na Simba robo fainal atapigwa kipigo cha mbwa koko.
tp mazembe wameuza wachezaji nje wakasahau kufanya replacement, hii ndo inawacost
Walicheza hapa kwenye supercup simba haikuwafunga na udhaifu wao
 
Walicheza hapa kwenye supercup simba haikuwafunga na udhaifu wao
Al hilal alicheza na Simba akafungwa 4-1 baada ya hapo Al hilal akacheza na Tp-mazembe akamfunga 2-1, akakutana naye tena club bingwa wakatoka 0-0.
kwa mantiki hiyo Tp-mazembe hajawahi kumfunga Al hilal ndani ya mwaka huu.
kwa kuwa umeleta comparison ya namna hiyo na mimi nmelwta comparison hii, Unasemaje hapa mwalimu Kashasha?
 
topic ni Al hilal au Mazembe?
 
Mautelembwe haya haya mazee yawatoe Mazembe
 
hicho ndo kinachowakosti club ya yanga wanacheza mpira ila wawafunge Simba na siyo wawin ligi nzima, ndo mana sishangai hata wakikosa ubingwa msimu huu..
unawezaje kushindana ligi na usiwafuatilie wapinzani wako! wewe ni kichwa panzi
Unaongea nini mambo ya Yanga yamefikaje hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…