J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,054 Reaction score 5,511 Mar 6, 2021 #41 NAWATAFUNA said: Mazembe kafa kifo cha kutatanisha. Anapigwaje 2,tena home!! Amna asee,kutakua na mkono wa mtu. Click to expand... Au Simba na kale ka kombe kake ka super cup alinyonya nguvu za Mazembe kupitia shiriki.
NAWATAFUNA said: Mazembe kafa kifo cha kutatanisha. Anapigwaje 2,tena home!! Amna asee,kutakua na mkono wa mtu. Click to expand... Au Simba na kale ka kombe kake ka super cup alinyonya nguvu za Mazembe kupitia shiriki.
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Mar 6, 2021 #42 Mazembe wanaweza hata wasifike robo fainali, ubora wao umepungua sana.