DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Angalia hapo mechi za TP mazembe home na simba msimu huu. Jiandaeni kisaikolojia tu.Nyie washangilieni hao hao tp mazembe muwape gundu..nani asiyejua timu lenu ckuhz na mashabiki wake wamejaa gundu...simba tunashinda sababu tunacheza na timu ambazo kunawatu wamejaa gundu wanajaribu kazishabikia..kamweneeeeee
Hatuna cha kupoteza...malengo yetu yalikuwa tucheze makundi tukafikia na tumevuka lengo tunacheza robo fainali...nyie makwasukwasu a.k.a bakuli fc yanawahusu nini...pilipili msiyoila yawawashia niniAngalia hapo mechi za TP mazembe home na simba msimu huu. Jiandaeni kisaikolojia tu.
Congo DR - Tout Puissant Mazembe - Results and fixtures - Soccerway
Congo DR - Tout Puissant Mazembe - Results and fixtures - Soccerwayus.soccerway.com
Cha kupoteza mnacho ndo maana povu linakutoka mkuu.Hatuna cha kupoteza...malengo yetu yalikuwa tucheze makundi tukafikia na tumevuka lengo tunacheza robo fainali...nyie makwasukwasu a.k.a bakuli fc yanawahusu nini...pilipili msiyoila yawawashia nini
Hahaaah povu wanatoa makwasukwasu fc...mechi ya simba na tp mazembe makwasukwasu yanawahusu nini...nipe ile namba yenu mnayokusanyia michango na buku hapa nataka kuwachangia mulipe mishahara wachezaji nasikia wanashinda njaa huko hahaahCha kupoteza mnacho ndo maana povu linakutoka mkuu.
Kwani hamkuwa na malengo ya kubeba kombe?
Hatuna povu bhana. Tunakushangaeni mnaposema tuoneshe uzalendo kwenu wakati tulishaachana kitambo kuoneshana uzalendo.Hahaaah povu wanatoa makwasukwasu fc...mechi ya simba na tp mazembe makwasukwasu yanawahusu nini...nipe ile namba yenu mnayokusanyia michango na buku hapa nataka kuwachangia mulipe mishahara wachezaji nasikia wanashinda njaa huko hahaah
Nani kawaomba mtushangilie...kwani mpaka tulipofika hapo tumefika kwa kushangiliwa na nyinyi???we weka namba hapa na buku nataka niwatumie wachezaji wasife njaaHatuna povu bhana. Tunakushangaeni mnaposema tuoneshe uzalendo kwenu wakati tulishaachana kitambo kuoneshana uzalendo.
Yanga lazima tuishangilie timu yenu pinzani.
We sema yote lkn leo mkipita hapo nitakupeni pongezi ila siwezi kuishangilia simba.
Hata chakula siwezi kula kama kimo ndani ya chombo cha rangi nyekunduπππππ
Hapo mlipofika ni kwa msaada wetu.Nani kawaomba mtushangilie...kwani mpaka tulipofika hapo tumefika kwa kushangiliwa na nyinyi???we weka namba hapa na buku nataka niwatumie wachezaji wasife njaa
Hahaaah weka namba niwatumie jero ombaomba fcHapo mlipofika ni kwa msaada wetu.
Mnacheza huku mnawaza kutukomoa Yanga.
Bila sisi msingefika huko, trust me.
Ila leo sijui. Nadhani mbuzi kafia kwa muuza supu
Nenda pale Jangwani mkuu watakupa mwongozoHahaaah weka namba niwatumie jero ombaomba fc
Nataka ile number yenu mnayotumia kuchangisha michango mnayoombaomba....nitumie mkuu mpate buku ya fasta hapaNenda pale Jangwani mkuu watakupa mwongozo
Kesho Mungu akipenda pale uwanja wa Taifa, Yanga na TP Mazembe watakipiga. Inashauriwa sana watanzania wote tuweke uzalendo mbele eti Yanga inawakilisha nchi.
Hakuna kitu kama hicho, Yanga inawakilisha Yanga. Nipo huru kuwa timu yeyote na nitakuwa TP Mazembe na wenzangu tunaokerwa na Yanga. Tayari nimesha-bet Yanga itapigwa 0-2.
Sababu zipo nyingi lakini kubwa ni kwamba Yanga wanadharau sana na wamejaa majivuno kwa club za ndani.
Msemaji wao amekuwa akirusha kashfa na matusi kwa kila aliye mbele yake mwenye mawazo kinzani. Kwa kuwa Yanga haijawahi kumchukulia hatua naamini wanamtuma kufanya hayo madudu. Juzi kwa kejeli alitutaka mashabiki wa Simba tuipe sapoti Yanga, lakini akaongeza tusipoipa watatushusha daraja msimu ujao.Hizi ni kauli za Ujuha na upumbavu uliokidhiri.
TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho
Haji Manara anayo mkuu. Wasiliana nayo mtuongezee hela. Mi naitafuta siioni hapaNataka ile number yenu mnayotumia kuchangisha michango mnayoombaomba....nitumie mkuu mpate buku ya fasta hapa
Hahaah mmekosa buku yangu hapa...wacha wakina feytoto wafe njaHaji Manara anayo mkuu. Wasiliana nayo mtuongezee hela. Mi naitafuta siioni hapa
Nyie pambaneni na hali yenu, sisi na timu yenu pinzani tu. Mkifanikiwa poa tu.Yaliopita si ndwele tugange yajayo
Yanga mnapaswa kuiunga mkono Simba ili mpate viti maalumu kuwakilisha michuano ya kimataifa , Simba ikifanya vizuri timu za Tanzania zinaongezeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu atatuchangia na ya kwako.Hahaah mmekosa buku yangu hapa...wacha wakina feytoto wafe nja
Huu wimbo ulitungwa na marehemu Joseph Mulenga akiwa Sikinde kwa mujibu wa Abdallah Gama ambaye pia wakati huo alikuwa Sikinde na ameshiriki katika wimbo huo akipiga gitaa la rhythim akihojiwa na Mtangazaji wa UFM Adam Zuberi, Mulenga alikuwa akimpiga kijembe aliyekuwa kiongozi wake marehemu Abel Balthazar.Ni Mlimani Park (Sikinde) wakiwa wanawaimba Juwata Jazz Band.
Usikilize hapa