Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Daa kweli malipo ni hapa hapa duniana aisee
Simba lazima afee kwa Tp mazembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba lazima afee kwa Tp mazembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnataka kufanya nini nyie Yanga ?Serikali ilishasema mkishabikia wageni mtakamatwaUsiku wa deni haukawii kukucha!
Naunga mkono hoja BFF.Tp mazembe bado tupo pamoja nanyi mkiwa kwà mchina na congo pia
Haaha tupo pamoja BestNaunga mkono hoja BFF.
Tupo pamoja na mtoa mada.Mnataka kufanya nini nyie Yanga ?Serikali ilishasema mkishabikia wageni mtakamatwa
Naunga mkono hoja yako.Naona mmepeleka shitaka la sumu CAF,nimeongea na rais wa CAF anasema hakuna kitu kama hicho. Isije kuwa mmepeleka kwa Jecha
Tumuunge mkono kesho mtoa madaJamaa aliyeandikaga huu uzi naona sasa ameamini maisha hayana formula!!! Dunia nia ajabu saana ilikuwa yanga sas simba na tp mazembe
Hahahahahahaha
Haaaa haaaaWadhamini kidogo kutoka TASAF
View attachment 1063457