logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,543
Ahsante sana kwa wimbo huu.Ni Mlimani Park (Sikinde) wakiwa wanawaimba Juwata Jazz Band.
Usikilize hapa
Ubaya waliuanza zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana kwa wimbo huu.Ni Mlimani Park (Sikinde) wakiwa wanawaimba Juwata Jazz Band.
Usikilize hapa
Utaguswa na virungu tuKesho ndio siku ya kuutumia MKANDA MWEUSI ''black belt'' yangu niliochukua nchini Polland. Navaa jezi ya TP Mazembe na kukaa jukwaa la Yanga, ole wake mtu aniguse
Mtani hivi tukisonga mtakuwa wageni wa nani,mtaficha wapi sura zenuYah. Kule ndio furesh Mtani ili kuwazomea vizuri wapinzani. 😀
Tutajua pa kuziweka tu Mtani hiyo siku ikifika.Mtani hivi tukisonga mtakuwa wageni wa nani,mtaficha wapi sura zenu
Umemkwaza nani tena mtaniCC: MTANI WANGU MMOJA HIVI Mc Tilly Chizenga NAHISI JUZI NILIKUCHUKIZA NA COMMENT YANGU ILA HUU NDIO UKWELI ULIO NDANI YA MIOYO YA SISI SHABIKI WA SIMBA NA YANGA YAANI NDIO TUKO HIVI SIKU ZOTE.
HATUJAWAHI NA HAITAWAHI KUWA WAZALENDO LABDA ZISHIRIKI AZAM NA NTIBWA.
Labda msonge ugali wa mihogoMtani hivi tukisonga mtakuwa wageni wa nani,mtaficha wapi sura zenu
Nilihisi nimemkwaza huyo Mkuu japo sina hakika kama alikwazika au mawazo yangu tu.Umemkwaza nani tena mtani
Happiness is a lifestyle
Hakuna neno mtani.....vipi lakini upepo unaendaje pande hizoNilihisi nimemkwaza huyo Mkuu japo sina hakika kama alikwazika au mawazo yangu tu.
Ilikuwa kuhusu hizi mambo za kuwa wazalendo Mtani.
Huku Shwari kabisa. Tunaimalizia jumamosi kwa kupumzika tukiivutia pumzi jumapili ambayo kwangu huwa naionaga siku fupi kuliko zote kutokana na maandalizi ya jumatatu.Hakuna neno mtani.....vipi lakini upepo unaendaje pande hizo
Happiness is a lifestyle
Pande hizi usalama upo mtani, jumamos huwa naitumia kunyosha viungo siku nzuri ya mapumziko , tusubiri ya kesho maana taifa limeshakaa kitako kuelekeza macho kwenye runinga tangu jana leo na kesho ndiyo siku yenyewe, tuombee timu ya taifa kufuzuHuku Shwari kabisa. Tunaimalizia jumamosi kwa kupumzika tukiivutia pumzi jumapili ambayo kwangu huwa naionaga siku fupi kuliko zote kutokana na maandalizi ya jumatatu.
Sijui kwako Mtani?
Kama tulivyosonga na Nkana na kisha AS Vita?
Naona mmepeleka shitaka la sumu CAF,nimeongea na rais wa CAF anasema hakuna kitu kama hicho. Isije kuwa mmepeleka kwa JechaTutajua pa kuziweka tu Mtani hiyo siku ikifika.
Japo pale nilisemea mechi ya Taifa Stars kesho.
Unaelewa ulichofanya kuweka picha ya mtu mwingine ktk profile yako ni kosa la jinai chini ya sheria ya mitandao?akili kama za Jerry aka Jane Murua
Hakika Mtani na yote yanawezekana kwani nyie mmeonyesha njia huenda Stars wakatupa furaha pia.Pande hizi usalama upo mtani, jumamos huwa naitumia kunyosha viungo siku nzuri ya mapumziko , tusubiri ya kesho maana taifa limeshakaa kitako kuelekeza macho kwenye runinga tangu jana leo na kesho ndiyo siku yenyewe, tuombee timu ya taifa kufuzu
Happiness is a lifestyle
Hii game yetu mtani, wachezaji wetu wa kibongo wana uwezo sana sema maslahi tu na wakipata kusifiwa hivi huwa wanacheza mpira mzuriHakika Mtani na yote yanawezekana kwani nyie mmeonyesha njia huenda Stars wakatupa furaha pia.
Hivyo kesho tutarajie mazuri eee?Hii game yetu mtani, wachezaji wetu wa kibongo wana uwezo sana sema maslahi tu na wakipata kusifiwa hivi huwa wanacheza mpira mzuri
Happiness is a lifestyle
Utaona vijana wanavyopiga soka... Kesho tukifungwa nidai hela ya salonHivyo kesho tutarajie mazuri eee?
Tusubiri tuone Mtani. Hahahaaa. Haya bana Mtani.Utaona vijana wanavyopiga soka... Kesho tukifungwa nidai hela ya salon
Happiness is a lifestyle