TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho

TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho

CC: MTANI WANGU MMOJA HIVI Mc Tilly Chizenga NAHISI JUZI NILIKUCHUKIZA NA COMMENT YANGU ILA HUU NDIO UKWELI ULIO NDANI YA MIOYO YA SISI SHABIKI WA SIMBA NA YANGA YAANI NDIO TUKO HIVI SIKU ZOTE.

HATUJAWAHI NA HAITAWAHI KUWA WAZALENDO LABDA ZISHIRIKI AZAM NA NTIBWA.
Umemkwaza nani tena mtani

Happiness is a lifestyle
 
Nilihisi nimemkwaza huyo Mkuu japo sina hakika kama alikwazika au mawazo yangu tu.

Ilikuwa kuhusu hizi mambo za kuwa wazalendo Mtani.
Hakuna neno mtani.....vipi lakini upepo unaendaje pande hizo

Happiness is a lifestyle
 
Hakuna neno mtani.....vipi lakini upepo unaendaje pande hizo

Happiness is a lifestyle
Huku Shwari kabisa. Tunaimalizia jumamosi kwa kupumzika tukiivutia pumzi jumapili ambayo kwangu huwa naionaga siku fupi kuliko zote kutokana na maandalizi ya jumatatu.

Sijui kwako Mtani?
 
Huku Shwari kabisa. Tunaimalizia jumamosi kwa kupumzika tukiivutia pumzi jumapili ambayo kwangu huwa naionaga siku fupi kuliko zote kutokana na maandalizi ya jumatatu.

Sijui kwako Mtani?
Pande hizi usalama upo mtani, jumamos huwa naitumia kunyosha viungo siku nzuri ya mapumziko , tusubiri ya kesho maana taifa limeshakaa kitako kuelekeza macho kwenye runinga tangu jana leo na kesho ndiyo siku yenyewe, tuombee timu ya taifa kufuzu

Happiness is a lifestyle
 
Tutajua pa kuziweka tu Mtani hiyo siku ikifika.

Japo pale nilisemea mechi ya Taifa Stars kesho.
Naona mmepeleka shitaka la sumu CAF,nimeongea na rais wa CAF anasema hakuna kitu kama hicho. Isije kuwa mmepeleka kwa Jecha
 
Pande hizi usalama upo mtani, jumamos huwa naitumia kunyosha viungo siku nzuri ya mapumziko , tusubiri ya kesho maana taifa limeshakaa kitako kuelekeza macho kwenye runinga tangu jana leo na kesho ndiyo siku yenyewe, tuombee timu ya taifa kufuzu

Happiness is a lifestyle
Hakika Mtani na yote yanawezekana kwani nyie mmeonyesha njia huenda Stars wakatupa furaha pia.
 
Back
Top Bottom