engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Jamani hiyo mechi haijaanza tu? ama sio leo? maana naona kimya hatupati updates ya mechi
please nijuzeni wakuu kuhusu hiyo mechi kama ipo
please nijuzeni wakuu kuhusu hiyo mechi kama ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
punguza hasira hujui wapi nilipo,ndio maana nimeuliza kama ningekuwa najuwa nisingeuliza,kwani hakuna mechi zinazo chezwa mda huo uliotaja? ama hujui mambo ya mpira yalivyo,hata saa mbili asubuhu ama usiku mechi huchezwa,Mechi inaanza 9.30 muda bado saa hizi saa 8.40 mpira gani saa 8 mchana??haya sio maigizo ya ze comedy wewe....
duu mwana kwanza nikushukuru kwa hii link,pili samahani kwa usumbufu,hii link ni msaada kwa mechi nyingi sana kwangu kutambuwa matokeo ya michezo mbalimbaliNENDA Flash Score: Live Soccer Scores, Livescore
UTAPATA MATOKEO MPAKA SASA SIMBA WAMEISHALALA MOJA BILA.
Mfungaji: Singulama Dk 17