TP Mazembe vs Raja Cassablanca naionaje?

Chukua uraia wa congo DR hamna namna. Si unaona hata wanamziki wake sio wazushi.
Hivi hawa wa Zaire na vurugu zao wanaweza mpira. Sisi na amani yetu hata utamaduni wa shule ya msingi hatuwezi !!. Hivi tulimkosea Mungu nini ?! . TP Mazembe hata bosi wao alisumbuliwa na Rais Kabila lakini bado wako ngangari !!. Sisi tumelaaniwa na nani ?!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mchawi ni yule yule mmliki wa viwanja vingi vya mpira hapa nchini ambvyo vipo kaama mashamba ya mpunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom