Hivi hawa wa Zaire na vurugu zao wanaweza mpira. Sisi na amani yetu hata utamaduni wa shule ya msingi hatuwezi !!. Hivi tulimkosea Mungu nini ?! . TP Mazembe hata bosi wao alisumbuliwa na Rais Kabila lakini bado wako ngangari !!. Sisi tumelaaniwa na nani ?!
Sent using
Jamii Forums mobile app