Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Simba 0 TP Mazembe 1(Given Singuluma dk 17)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
simba ushuzi tu
taratibu mkuu, ukishabikia sana mpira wa bongo utakufa kwa preshaYaani wewe ungekuwa Rais, nchi hii ingekuwa Ulaya. Yaani Senks mara 999,9999,99999,99999.
Simba wamef**wa na kuto**wa na TP Mazembe inakera mno, yaani ndani ya nyumba yetu wenyewe. Ebo nisijefungiwa bure namaanisha wamefungwa na kutolewa....sorry?
Wanachezewa nyuma..halafu kunateleza tu...watu wanaingiza tu.....ebo nisijefungiwa namaanisha wanachezewa nyuma ya uwanja halafu mvua imenyesha kunateleza wanaanguka.
Simba kum***zenu......ah!!! leo nina nini?? yani Simba kumalizia pasi zenu golini mnashindwa?
Naishia hapo nimekasirika mpaka naona kizunguzungu yaani 3-2 na mpira umeisha...kum..zenu simba...ah kumalizia pasi zenu Simba!!!
taratibu mkuu, ukishabikia sana mpira wa bongo utakufa kwa presha
TP Mazembe ni timu ambayo huwa inaupiga kwenye FIFA Club World Cup Soccer,last year nadhani walitolewa na AC Milan...Miye nilikuwa mshabiki wa Simba ila cjafuatilia kwa muda,sidhani kama they hold a chance over TP Mazembe.
hongera simba hongera sana
Sio kama kandambili
TP Mazembe ni timu ambayo huwa inaupiga kwenye FIFA Club World Cup Soccer,last year nadhani walitolewa na AC Milan...Miye nilikuwa mshabiki wa Simba ila cjafuatilia kwa muda,sidhani kama they hold a chance over TP Mazembe.