Watoto wa Mosee Katumbi leo wametwazwa kuwa mabingwa wa kombe la Shirikisho badala ya kwenda Sare na Supersport ya Afrika kusini awali Mazembe walishinda 2-1 pale jiji la Lubumbashi.
Timu zetu zipate somo kutoka kwa Tp Mazembe.hongereni akina Mputu,Adjei,Kidiaba,nk