Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mitego ya Utopolo ilikuwa mingi Sanaa, mingine wameikwepa kwa kusaidiwa na wakongo wenzao waliopo hapa nchini, mitego mingine wamesaidiwa na waliokuwa wachezaji wao wa zamani ambao ni raia wa Congo.
Lakini Mazembe wameingia kwenye mfumo wa Gusa Achia Twende Kwao.
Miiba wameikanyaga tayar, miiba mingine imeenda kushindiliwa kwa watoto yatima kupewa msaada.
Siipendi Yanga lkn kwa kesho na kwa namna nilivyoona miiba ikishindiliwa, aaaah Mazembe mnapoteana mapema tu na Gusa Achia Twende Kwao.