Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Simba si alishenyentwa hapo kwa mkapa na kale katimu ka wafuga kondoo?kwa mkapa ni kwa ajiri ya simba kefanya maajabu ila yanga labda wangekuwa chamazi naiona sare kesho
huwa inatokea ila ni mara chache sanaaaaSimba si alishenyentwa hapo kwa mkapa na kale katimu ka wafuga kondoo?
Unaijua libolo?huwa inatokea ila ni mara chache sanaaaa
Tuna gusa achia na kwenda kwenuMitego ya Utopolo ilikuwa mingi Sanaa, mingine wameikwepa kwa kusaidiwa na wakongo wenzao waliopo hapa nchini, mitego mingine wamesaidiwa na waliokuwa wachezaji wao wa zamani ambao ni raia wa Congo.
Lakini Mazembe wameingia kwenye mfumo wa Gusa Achia Twende Kwao.
Miiba wameikanyaga tayar, miiba mingine imeenda kushindiliwa kwa watoto yatima kupewa msaada.
Siipendi Yanga lkn kwa kesho na kwa namna nilivyoona miiba ikishindiliwa, aaaah Mazembe mnapoteana mapema tu na Gusa Achia Twende Kwao.
Una maanisha wanashindana na nguvu na mamlaka ya kipepo?Mitego ya Utopolo ilikuwa mingi Sanaa, mingine wameikwepa kwa kusaidiwa na wakongo wenzao waliopo hapa nchini, mitego mingine wamesaidiwa na waliokuwa wachezaji wao wa zamani ambao ni raia wa Congo.
Lakini Mazembe wameingia kwenye mfumo wa Gusa Achia Twende Kwao.
Miiba wameikanyaga tayar, miiba mingine imeenda kushindiliwa kwa watoto yatima kupewa msaada.
Siipendi Yanga lkn kwa kesho na kwa namna nilivyoona miiba ikishindiliwa, aaaah Mazembe mnapoteana mapema tu na Gusa Achia Twende Kwao.
Longtime, tena Simba hiyo ilikuwa inafanya vizuri kuliko Yanga kimataifa.Unaijua libolo?
Mazembe ameshashinda tayariPoleni kesho Tp mazembe anashinda 2-1