TP MAzembe wameua tena!

TP MAzembe wameua tena!

Roulette

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
5,568
Reaction score
5,386
TP Mazembe VS TS Malekesa: 8 - 0
Kabangu, Kaluyituka, Kabangu, Kabangu, Kabangu, Mwansa, Lofo, Kabangu
 
Sasa hii ni soka ao Basket ball?
 
TP Mazembe VS TS Malekesa: 8 - 0
Kabangu, Kaluyituka, Kabangu, Kabangu, Kabangu, Mwansa, Lofo, Kabangu

Hata Esperance ya Tunisia nao walilambwa 5-0 Lubumbashi. Ndiyo maana Yanga waliumia sana Simba ilivyofungwa 3-2 tu.
 
Hii itajirudia mwaka huu kuna mbahatishaji mechi ameingia kwenye gêto la wenye vumbì la congo
 
Back
Top Bottom