TP Mazembe waomba kufundishwa football management na Yanga

Nakukubari chambuzi la kimataifa
 
Yanga nao watumie muda huu kujofunza toka kwa Mazembe
Uzuri Yanga anapohitaji kujifunza anakuwa mnyenyekevu sana tofauti na wale jamaa wanaoamini na wao ni wakubwa wanajiweka level moja na Al Ahly, Esperance, Zamaleki na wengine hivyo hawana cha kujifunza.
 
TANZANIA KUNA WAJINGA WENGI SANA .SASA MAZEMBE ATAJIFUNZA NINI KWA YANGA.??? AU KUJIFUNZA KUHONGA MAREFA.??? MANA YANGA KAZIDIWA KILA KITU NA MAZEMBE
Wao Mazembe wameona kuna cha kujifunza Yanga, Wewe Mbumbumbu unasema hakuna.

Cc Aden Rage.
 
Mo hakuna anachomiliki pale ni mpigaji tu.kwemye dili la jezi ya 40,0000.utopolo anachukua 1,300.sio upigaji huo?ndo maaana nakwambia utopolo kumetulia sababu kumepona ugonjwa ila ukianza up ya tutajua mengi.
Wakati huo fungu la gharama za uendeshaji wa timu linatoka wapi?
 
Mazembe bado hajarudi kwenye ubora wake. Kwenye ubora wake huwa anachukua makombe. Usumbufu wanao kina Mwakarobo.
 
Kama hawakuelewa na hapa sina budi kuungana na Aden Rage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…