Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo linajulikana mkuu,Hata ingeisha vile walikuwa wanatoka
Kwani Ulaya wanafanyaje?Msimu ujao ikiwezekana kanuni za mashindano zirekebishwe ili timu zinazoshiriki klabu bingwa, basi ziwe ni zile tu zilizochokua ubingwa kwenye nchi zao.
Haya mambo ya kuchukua timu mbili kwenye baadhi ya nchi kwa kigezo cha pointi nyingi sijui!! kwangu mimi naona yanapoteza ile maana halisi ya mashindano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ndio vitu vya kufanya, sio kulilia kagoli kama VAR. Pumbaaaaavu kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetolewaaa weweee, hebu acha makasiriko.Msimu ujao ikiwezekana kanuni za mashindano zirekebishwe ili timu zinazoshiriki klabu bingwa, basi ziwe ni zile tu zilizochokua ubingwa kwenye nchi zao.
Haya mambo ya kuchukua timu mbili kwenye baadhi ya nchi kwa kigezo cha pointi nyingi sijui!! kwangu mimi naona yanapoteza ile maana halisi ya mashindano.