TP Mazembe yatinga Semi Final. Yaichapa Petro Athletico. FT 1-2

Duu,
Alipo ona imebaki DAKK moja akaingia dimbani. Kusaidia timu lilikua Jambo la muda tuuu nilipo muona anarud langoni Kama nungunungu πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜…
Hata ingeisha vile walikuwa wanatoka
 
Msimu ujao ikiwezekana kanuni za mashindano zirekebishwe ili timu zinazoshiriki klabu bingwa, basi ziwe ni zile tu zilizochokua ubingwa kwenye nchi zao.

Haya mambo ya kuchukua timu mbili kwenye baadhi ya nchi kwa kigezo cha pointi nyingi sijui!! kwangu mimi naona yanapoteza ile maana halisi ya mashindano.
 
Hata ingeisha vile walikuwa wanatoka
Hilo linajulikana mkuu,
Maana TP MAZEMBE alikua ugenini na alikua na advantage ya goli la ugenini maana walisha score goli tayar..

Hata YANGA au SIMBA wangepangiwa atleticol de Luanda tungewatoa
 
Kwani Ulaya wanafanyaje?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetolewaaa weweee, hebu acha makasiriko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…