Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Nawatakia ushindi mwema TP Mazembe bana ba Lubumbashi ushindi huu uwafikie wanao penda timu bora
Nawatakia ushindi mwema TP Mazembe bana ba Lubumbashi ushindi huu uwafikie wanao penda timu bora
Mimi sio yanga napenda timu iliyo bora TP Mazembe funga timu mbovuNanunua yanga mbovu chuma chakavu pamoja na dola
Wangekuwa wabovu wasingefika hapo walipo, vilabu Bora nane vinashiriki robo fainali Africa we unahara tu hapo.Mimi sio yanga napenda timu iliyo bora TP Mazembe funga timu mbovu
Spray ya rungu au ?🧔🏿SPRAY IMEGOMA LEO KWENYE VYUMBA VYA KUBADIRISHIA NGUO NA KWENYE BUS.
CUF WAMETOA MACHO BAADA YA KUTAHADHARISHWA NA MAZEMBE JUU YA MALALAMIKO YA TIMU NYINGINE ZILIZOCHEZA MKAPA..
Spray ya rungu au ?🧔🏿
Teknologia mpya hiyoThimba huwa wana spray yao wakipuliza tu lazima pumzi ikate kwa adui..