TP MAZEMBE

TP MAZEMBE

Profesa ntare nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
6,955
Reaction score
8,120
Nawatakia ushindi mwema TP Mazembe bana ba Lubumbashi ushindi huu uwafikie wanao penda timu bora
 
Tp mazembe ikimfunga simba nainunua Yang ili niwatoe katika wimbi la kuomba omba
IMG-20190330-WA0003.jpg
 
SPRAY IMEGOMA LEO KWENYE VYUMBA VYA KUBADIRISHIA NGUO NA KWENYE BUS.
CUF WAMETOA MACHO BAADA YA KUTAHADHARISHWA NA MAZEMBE JUU YA MALALAMIKO YA TIMU NYINGINE ZILIZOCHEZA MKAPA..
 
SPRAY IMEGOMA LEO KWENYE VYUMBA VYA KUBADIRISHIA NGUO NA KWENYE BUS.
CUF WAMETOA MACHO BAADA YA KUTAHADHARISHWA NA MAZEMBE JUU YA MALALAMIKO YA TIMU NYINGINE ZILIZOCHEZA MKAPA..
Spray ya rungu au ?🧔🏿
 
Back
Top Bottom