TPA madudu matupu, PSSSF imefilisika, NSSF haina fedha, TASAC ubadhirifu mtupu sasa hawa CHADEMA wanapigana na Ufisadi gani?

Lugha aloyoitumia mleta uzi ni ngumu kuielewa, and vice versa is tru
 
Kunywa dawa zako Bwashee! Chadema ndiyo iko madarakani!? Yule dhalimu si aliiua? Hebu acha kujitoa ufahamu hadharani!
Bwashee anatafuta staili ya kuchutama ndo anashindwa atumie ipi??
 
Reactions: BAK
😳😳😳 kweli nimeamini mwisho wa dunia umefika...
 
Huyu naye naona kavurugwa vibaya sana
 

Wezi wa mali ya umma na wabadhirifu wanakera sana. Wanahitaji kuchapwa viboko hadharani
 
Jinga kabisa wewe?
Mashirika yameharibika chini ya utawala wa CCM uje uilaumu CHADEMA?
Ma-DG wa hayo mashirika uliyoyataja waliteuliwa na Rais kutoka CHADEMA??
Booard of Directors imeundwa na Waziri wa Serikali ya CHADEMA??
Tumia akili kufikiri
 
Kwa kweli hawa chadema wanazingua rais wao amekufa juzi tuu sasa tumeshika madaraka ccm tunafichua uovu wote. Tuliwapa nchi ikawa shinda.
Ngoja ccm tupige kazi sasa
 
Hapana tumpeleke Nzena Hospital
 
Jinga kabisa wewe?
Mashirika yameharibika chini ya utawala wa CCM uje uilaumu CHADEMA?
Ma-DG wa hayo mashirika uliyoyataja waliteuliwa na Rais kutoka CHADEMA??
Booard of Directors imeundwa na Waziri wa Serikali ya CHADEMA??
Tumia akili kufikiri
Wewe unatumia nini kufikiri?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…