mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
imelaaniwa na mama yako baada ya kumnyima unyumba.Na maneno kibao, leo dreamliner mbovu moja nchi mzima inaugua constipation, Kenya wana zaidi ya 12 na wako kimya, nchi imelaaniwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imelaaniwa na mama yako baada ya kumnyima unyumba.Na maneno kibao, leo dreamliner mbovu moja nchi mzima inaugua constipation, Kenya wana zaidi ya 12 na wako kimya, nchi imelaaniwa
Enhe inamaanisha hiyo 496million USD yawezakua ni yearly revenue.
Toka wakenya msikie kua dada zenu wanatufagilia imekua tabu, mnataka mfukue fukue kuleta mashindano yasiyo na tija, ni kweli bajeti yenu ni kubwa na mpo juu kiuchumi kuliko sie, ila tuacheni tupumue kidogo tunaelekea uchumi wa katiDuh! Halafu the way huwa wanakesha wakijipimanisha na Kenya, aibu sana.
lol... ebu rudia tena kwa sauti.Na maneno kibao, leo dreamliner mbovu moja nchi mzima inaugua constipation, Kenya wana zaidi ya 12 na wako kimya, nchi imelaaniwa
The average income of KPA was 38bn Kshs a month(2015/16)Wewe umetoa wapi hii taarifa yako? Punguza wivu. Back in 2012 the MONTHLY revenue for July was $276million.
6years later the MONTHLY revenue for July has risen to $476million.
We are not talking about profits.
Mombasa port BTW is among the top 5 best performing ports in the whole of Africa. This should not come as a surprise, ndugu
Boss, Dar port monthly revenue umesoma hapo juu ni 3.4B Ksh. Na dar ni ndogo sana kwa Mombasa. Sasa iweje una doubt monthly ya Mombasa ni 49B Ksh?
imelaaniwa na mama yako baada ya kumnyima unyumba.
You mean Ile Dreamliner moja ishagonjeka? 😂😂😂Na maneno kibao, leo dreamliner mbovu moja nchi mzima inaugua constipation, Kenya wana zaidi ya 12 na wako kimya, nchi imelaaniwa
so were the best in Africa?..that would be marvellous[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Using July implies the end of a fiscal year not a month of July. No port in sub Saharan Africa has that markup bro... Just common sense...
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuhhh mngejua kenya imepakana na nchi 3 ambazo hazina bahari amabzo ni ethiopia, sudan na uganda Tanzania imepakana na nchi 6 amabazo hazina bandari amabzo ni Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi,congo,na Zambia akili zako ndogo sana kuamini report ya kipuuzi kama hiyo na kingine Eritrea na ethiopia wanaimarisha uhusiano wao mpaka wametembeleana hv unafikiri ataacha kupisha vitu vyake kupitia Eritrea aje kwenu kenya halafu na hiyo uganda yenyewe mnayoitegemea wanataka kuclose deal na tanzania kuhusu standard gauge na tuwape bandari ya Tanga.... Fikiria kabla ujakurupuka kujibu sawa.. Na angalia mbele nn kinatokea ndo mana waganda wamewakataa waganda sio wajinga wapitishe mbona tz waache kenyaDuh! Halafu the way huwa wanakesha wakijipimanisha na Kenya, aibu sana.
Duuuhhh mngejua kenya imepakana na nchi 3 ambazo hazina bahari amabzo ni ethiopia, sudan na uganda Tanzania imepakana na nchi 6 amabazo hazina bandari amabzo ni Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi,congo,na Zambia akili zako ndogo sana kuamini report ya kipuuzi kama hiyo na kingine Eritrea na ethiopia wanaimarisha uhusiano wao mpaka wametembeleana hv unafikiri ataacha kupisha vitu vyake kupitia Eritrea aje kwenu kenya halafu na hiyo uganda yenyewe mnayoitegemea wanataka kuclose deal na tanzania kuhusu standard gauge na tuwape bandari ya Tanga.... Fikiria kabla ujakurupuka kujibu sawa.. Na angalia mbele nn kinatokea ndo mana waganda wamewakataa waganda sio wajinga wapitishe mbona tz waache kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Pima extent ya hiyo mizigo kaka inayopita kwenu sawa kama kagame angeona kenya ni route sahihi asingeshiriki kwenye kuivuta standard gauge kwake na badala yake angejenga ya kenya sawa hao wanopitisha labda ni raia wa kenya wnaofanya biashara burundi maana hata kuna mizigo ya tz inatokea mombasa..... Ila tambua dar port ni threat kubwa kwa maendeleo ya port ya mombasa na ndo mana mapaka sasa kenya kichwa kinawauma endapo SGR ya tz itakamilika mnaweza mkawa mko juuu but ile ya 160km/hr SGR ikikamilika shuhuli mnayoNyie mivivu mumepakana na nchi zote hizo lakini cha kushangaza tunapakia mizigo ya DRC, Burundi na Rwanda wakati wote hawa mlifaa kuwatia mfukoni kitambo.
Pima extent ya hiyo mizigo kaka inayopita kwenu sawa kama kagame angeona kenya ni route sahihi asingeshiriki kwenye kuivuta standard gauge kwake na badala yake angejenga ya kenya sawa hao wanopitisha labda ni raia wa kenya wnaofanya biashara burundi maana hata kuna mizigo ya tz inatokea mombasa..... Ila tambua dar port ni threat kubwa kwa maendeleo ya port ya mombasa na ndo mana mapaka sasa kenya kichwa kinawauma endapo SGR ya tz itakamilika mnaweza mkawa mko juuu but ile ya 160km/hr SGR ikikamilika shuhuli mnayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena zaidi,nimefupisha tu.Alistahili hili kweli???
Asante sana!The average income of KPA was 38bn Kshs a month(2015/16)
Average profit was 0.5bn Kshs a month.
Double that, and still, you won't get the half a trillion a month. Your mind needs to be enlightened to the point that when someone says he has been to Mars, you check his a$$ immediately.
It's common sense.
View attachment 840393