TPA wamepokea tuzo kwa kuwa shirika bora Tanzania, jamani ni aibu kulete DP kwa kweli

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
24,386
Reaction score
57,588
Nikiwa naangali TV, kule kwenye mkutano wa mashirika ya umma. Mara ninaona wakati wa kupewa tuzo TPA wamepewa tuzo kama shirika lilinaloiingiza mpunga mrefu Tanzania baada tu ya TCRA.

Kumbe TPA wanafanya vizuri kabisa, Waziri wa ujenzi kumbe alitudanganya. Again no tu uwekezaji TPA.

TPA wapo vizuri, ni wanaweza kabisa kuendelea kuongeza ufanisi wenyewe bila kutegemea mwekezaji.
 
Hii nchi ina vitu ukiwaza unaweza umwa kichwa.
 
Bandari Kavu ya TPA ikianza kazi rasmi kule Kwala Vigwaza itaangiza fedha nyingi kuliko Taasisi yoyote nchini

RIP Shujaa Magufuli
 
Ngoja tule tushibe kwanza.
 
DP waje, ila mkataba urekebishwe kwanza.

Maana kama huu mkataba uliopo una manufaa kama tunavyo hubiriwa basi, na wenzetu wa Zanzibar bandari zao zijumuishwe ili tunufaike sote.

Ningekuwa rais, ningeajiri experts wa kuongoza bandari nawapa targets kuanzia utendaji hadi makusanyo ya fedha. Wakishindwa kufikia target nawatimuwa.

Yaani kama vile unaajiri kocha wa club au taifa star.
 
Watu walishavuta advance za DP World mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…