TPA wamepokea tuzo kwa kuwa shirika bora Tanzania, jamani ni aibu kulete DP kwa kweli

Kuna Mwamba kuliko JPM na kashindwa ?

imagine JPM na kutisha kwake kote na ziara zake za kustukiza kuna kijana alichezea clip ya Mizigo kuwa eti anaona live hadi Mzee akastuka na kufungua pazia za ofisi na kumwambia Nioneshe gari ikivuka pale kwny Mtambo na huku naangalia Screen.

pale Bandarini kuna mengi sana sana

Fuko la Kampeni, Kitalu cha Wamiliki wa ICD, uchochoro wa wakwepa kodi n.k

Mie mwenyewe pamoja na sababu zote za Kitaifa na za kizalendo najua Mradi wa Treni ya kisasa ukikamilika na kufanya kazi kwa ufanisi kwny upande wa Mizigo kuna Wateja wangu watarudi kwny Mawe nami ntajikuta napepesuka

Jambo lolote tunaweza tukapinga au kuunga mkono kwa pamoja lakini tukawa na mission tofauti

Kuna Wastaafu wanaomiliki ICD tangu Jana baada ya tangazo la TEC nafsi zao zimesuuzika sana

Kuna Tajiri Papa mkubwa sana nae anaunga Mkono uwekezaji kwa kuwa kajihakikishia kuwa atakuwa ndio Supplier wao Mkubwa
 
Bilanya mupangilio au mtiririko maalum....
Hakuna Mfanyabiashara au Wafanyabiashara wanaopendelea kununua , kuendesha biashara yenye hasara au yenye kutia hasara au yenye historia ya hasara.

Ielweke, Bandari ya Dar-Es-Salaam sio Biashara ya hasara!

Fikiria, DPW wako teyari kununua au kuendesha au hata kugawiwa Bandari iliyo na utendaji hafifu na mapato madogo au tuseme yenye Thamani ndogo?? Sidhani.

Thamani na Umuhimu wa Bandari yetu ni Kubwa, Bandari yetu ndio Uti wa Mgongo, Bandari yetu ndio Eneo la kwanza la kujihami kwa ajili ya kulinda mipaka na ukuu wa nchi!

Wanatuhadaa na tathmini walizojijengea(wagawaji) wenyewe, mahususi tu, to undervalue the perfomance ya Bandari.
Wanakuja na hoja hafifu sana, wanashusha umuhimu wa mipaka yetu ukuu wa nchi yetu na hata UTU wetu! Wanawaita watanzania wenzao ni wezi! Hata kufikia kuteremsha thamani ya Kifedha kwa kudai Mapato ni duni Bandarini hapo wakati Watanzania na Wageni(Taasisi na vyombo vya fedha vya nje)kuweka thamani ya Kifedha na umuhimu wake kiuchumi na kiusalama-40% of our GDP! unaenda kuwagawia Waarabu? Wakitutingishia kiberiti?

Haya sasa, wamepewa tuzo,wamesifiwa na WB IMF halafu bado tuseme 'tumeshindwa' au hatuna 'uwezo' au ni 'wezi' na sifa nyingi hasi kwa sababu gani hizo kama sio Rushwa na Ufisadi wa Kiaina huko?

Naunga mkono hoja.
"TPA wapo vizuri ,ni wanaweza kabisa kuendelea kuongeza ufanisi wenyewe bila kutegemea mwekezaji"

Watanzania wanauwezo.
Watanzania hawajaridhika na Mkataba wa Bandari ya Salama, na Serikali isione haya kuachana na Waarabu.
 
Haha hiyo ni nusu tu ya maptano
Mashuriki maraisi ya kunedesha kwa Tanzania
Tenesco
TPA
TCRA
 
TPA wapo vizuri ,ni wanaweza kabisa kuendelea kuongeza ufanisi wenyewe bila kutegemea mwekezaji[emoji23]

Waziri aje atoe ufafanuzi
 


Hili ni kosa la utendaji ndani ya mfumo kushindwa kuwachukulia hatua wahusika. Intel ingetumia magazeti ya wapinzani na wapinzani kuanika hayo madudu, enzi zile akina Slaa na kubenea si walikuwa feeded na intel ku expose hayo madudu.

Watu wanakuja ccm kujifichia wizi wao. Wanarubuni mifumo, wanapora kila kitu kwa manufaa ya wachache na hakuna wa kukemea mwenzie. Lakn haijustify kusaini mkataba wa kihuni na kijinga vile kisa eti tumeshindwa kudhibiti mchwa walio ndani kwamba eti bora tuwape wageni. Kweli vyema bandari ibinafishwe, lakni ni lazma mkataba wenye tija kwa Tanzania.

Nafurahi kujua upo kwny biashra ya malory, maana Tanroad wanakamata Malori ya transit yanayopaki pembeni mwa barabara, wakt tra inasema transit ni marufuku kwenda mita 100 pembeni ya barabara kuu au kuingiza yard, sasa service au kusubiri malipo mnapak wapi?
 
TPA wapo vizuri ,ni wanaweza kabisa kuendelea kuongeza ufanisi wenyewe bila kutegemea mwekezaji

Waziri aje atoe ufafanuzi
Sasa wamepewa tuzo kwa ajili ya kupeleka bil20 au 200 wakati wakipewa dpw hao hao tpa watatoa mara nyingi zaidi ya hiyo hata shule mbovu pia ina best student kwa hiyo wamepongezwa na kweli wanastahili ila sio kwa spidi hii we need big investment hence big outcome wacha dp awekeze mara dufu ili tuvune maradufu ya hiki. Sema cha msingi na kikubwa leo mh president ametoa speech yenye muelekeo mkubwa na mageuzi makubwa hasa ktk uchumi wetu haya mengine yalikuwa kama kachumbari kwenye msosi tu.
 
Nani kakudanganya?DP bandari inakuwa yao na Mapato yatakuwa ya DP.
 
Akili yko ndogo sana hao TPA wanaufanisi ukilinganisha na bandari shindani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…