Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Haifanyi shughuli hizo...imekodishwa kwa wapangaji ambao ni shipping lineIle ya TALL ya shaurimoyo ishafufuka
Ewaaa na hapa juzi ilikuwa inafanyiwa usafi wa nguvu huenda walishajua kifuatacho, na miaka 5 ya JPM ilipokosa magari haikuwahi kufungwa naona palibaki kama dampo tu linalolindwa huenda mission walishaisoma kuwa jamaa akiondoka ulaji utarudi na kweli.Ile ya TALL ya shaurimoyo ishafufuka
Ulaji na wizi na ukwepaji kodi vimerudi kwa kasi. Viva MkwereMamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeruhusu rasmi kuanzia tarehe 24 October 2022, magari kupelekwa kwenye bandari kavu za nje za kuhifadhia...
Ya kinana Ile nazan ipo mbona ila haikuwa active kivileIle ya TALL ya shaurimoyo ishafufuka
Acha pesa irudi mtaani aiseeUlaji na wizi na ukwepaji kodi vimerudi kwa kasi. Viva Mkwere
Wanaenda kupigwa tena hawa, muda ni hakimu mzuri sanaMamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeruhusu rasmi kuanzia tarehe 24 October 2022, magari kupelekwa kwenye bandari kavu za nje za kuhifadhia magari...
Bado haijafufuka sikuhizi kuna ofisi za uwakala wa Meli nahisi baada ya tangazo hili watarudi tenaIle ya TALL ya shaurimoyo ishafufuka
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeruhusu rasmi kuanzia tarehe 24 October 2022, magari kupelekwa kwenye bandari kavu za nje za kuhifadhia
Bado haijafufuka sikuhizi kuna ofisi za uwakala wa Meli nahisi baada ya tangazo hili watarudi teIle ya TALL ya shaurimoyo ishafufuka
Pengine pesa itamwagikaAcha pesa irudi mtaani aisee
Itaanza kazi pamoja na Farion ICD ipo opposite na Serengeti Breweries Chang'ombe. Zina vigezo vya kupokea na kuhifadhi magariIle ya TALL ya shaurimoyo ishafufuka
Hakuna kupigwa kila kitu kitakuwa salamaWanaenda kupigwa tena hawa, muda ni hakimu mzuri sana
Mmiliki ni mmoja, ofisi zote kaziweka pamojaBado haijafufuka sikuhizi kuna ofisi za uwakala wa Meli nahisi baada ya tangazo hili watarudi te
Pengine pesa itamwagika