TPDC: Mafuta yaliyopo yatosha siku 15

Kulikua hakuna uwazi , mengi tulikua tunafichwa
Kwaiyo kwa Sasa uwazi upo sindio??
Iweje maisha yawe haya tunayoshuhudia,, kumbuka wewe Kama mzazi sio vyema kuwaeleza wale wanaokutegemea Kila kitu ili Mambo yaende
 
Enzi za mtukufu KAYAFA asingethubutu kuongea huo ukweli.
Hadi uongee hivi utakuwa hujafanya kazi yako vizuri.

Kama kazi zinaenda utapa wapi huu mda.

Sasa hivi mambo ni vulu vulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…