Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi pia nmekosa ata hoja 7bu iyo nafasi sio mchezo ni kubwa mnoDuh 27!!! hao wametumia vigezo gan kujirank iyo nafasi?
He he. Sijui Geza atasemaje baada ya kuna takwimu hizi. Hats hiyo, kuna tofauti kati ya Democratic Republic of the Congo na Republic of the CongoTakwimu zako si sahihi, kidunia DRC ni ya 73 Tanzania ni ya 96.
Halafu kwa Afrika DRC 27 wakati TZ 17
Number 27 duniani?? UWONGO MTUPU
Hivi mbona hamuna heshima na jeshi lenu la JWTZ kwa kuwaanika kwenye aibu kama hii.Kwa kutumia vigezo gani labda?
Yaaa ni kweli, lkn ni jambo lisilo patana na akili kuwa DRC au Nigeria au Kenya kuwa juu ya Tanzania.He he. Sijui Geza atasemaje baada ya kuna takwimu hizi. Hats hiyo, kuna tofauti kati ya Democratic Republic of the Congo na Republic of the Congo