TPDF ranks position 27 in the World!

TPDF ranks position 27 in the World!

jeshi ni zaidi ya vifaa na zana, vichwa ndio kila kitu. Niliona TPDF wakipasua matofali kwa kichwa nikaamini hata USA wachanga kwa TPDF lol
Sijakupata vizuri,

Lkn pia utii na uaminifu ndiyo nguzo muhimu sana za jeshi. Mfano Nigeria ina zana za kisasa kabisa lkn wakawakimbia wanamgambo wa boko haram.
 
Sijakupata vizuri,

Lkn pia utii na uaminifu ndiyo nguzo muhimu sana za jeshi. Mfano Nigeria ina zana za kisasa kabisa lkn wakawakimbia wanamgambo wa boko haram.

Mkuu unadhani boko haram utani? Unadhani alshabaab utani? Nyie mko kwenye bench mnaweza analyse vizuri, lakini ukiwa kwa mechi, hapo ndipo utajua ugaidi haina utani, you'll get your serving one day.
 
thank God umekubali m23 niwatoto...maana mkiguswa tu mshaanza tuliwapiga m23.for once mtz amekubali hakuna chochote cha maana kupiga m23.next tym plz muaachane na hiyo tabia ya kujisifia kwa m23
Na ww uwende hospital kupima maana km watoto wamewasumbua DRC na wmewashindwa ss waliowaweza huwez fananisha nao, however hyo nafsi ya 27 hawajacreate watz ! Upo mbururaz ww!!
 
Na ww uwende hospital kupima maana km watoto wamewasumbua DRC na wmewashindwa ss waliowaweza huwez fananisha nao, however hyo nafsi ya 27 hawajacreate watz ! Upo mbururaz ww!!
nawewe kama wakubali kuwa mko namba 27 yafaa tukuimport tukupeleke kwa hospital yetu ya vichaa ya mathare.kubali mlipigana na watoto so mpewe respect kwa kupigana na watoto
 
Acha uongo ww, unajua jeshi ya nchi ngapi ipo DRC? Congo yenyewe, monusco(UN) wote ndo walipigana na m23 ila sio Tz pekee yake mnavodai, Tz ipo under hiyo UN. So Tanzania ilishirikiana na majeshi mengine Congo period.
 
Don't trouble yourself anymore. If you are like: 'so what' today, even tomorrow its gonna be the same. You'll never understand a thing no matter the explanation. Just keep calm brother.
Umemaliza?
 
Chizi kweli ww, tena kichaa!! Eti DRC imeizidi Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama wangeizidi wangeomba msaada JWTZ dhidi wa watoto wa M23
Ile ni mipango Ya umoja wa mataifa, kupeleka mataifa jirani katika nchi zenye mzozo wa saiz Ya kati, mbona jw hawapelekwi Somalia, isitoshe hapo rank inajuliisha vifaa walivyo kuwa navyo Congo wamepewa dhana nyingi za umoja wa mataifa kwa sabab Ya mizozo waliokuwa nayo, marekani anachukua almasi na dhahabu anawapa serikali dhana za kivita. Na hizo ranks sijapanga mimi, ni umoja unaoshughulikia masuala Ya kijeshi, jeshi la kisasa utaonekana mzuri ukiwa una uwezo mkubwa wa kidhana sio tactics
 
Mkuu unadhani boko haram utani? Unadhani alshabaab utani? Nyie mko kwenye bench mnaweza analyse vizuri, lakini ukiwa kwa mechi, hapo ndipo utajua ugaidi haina utani, you'll get your serving one day.
Kweli bro, Tuombe salama na amani katika nchi, Unafikir Hao Tpdf mnaowasifia wapelekwe Syria na Iraq watarudi? Ugaid sio kitu kizuri
 
Mkuu unadhani boko haram utani? Unadhani alshabaab utani? Nyie mko kwenye bench mnaweza analyse vizuri, lakini ukiwa kwa mechi, hapo ndipo utajua ugaidi haina utani, you'll get your serving one day.

We'll never get that serving y'all nyang'au crave and pray litutokee, dua la kuku halitokaa mpata mwewe, namwambiaga mwenzio sam, hili ni taifa teule la Mungu, shuhudia mwenyewe.
 
Mbona walishindwa kuwamaliza m23 mpaka tuenda kuwasaudia...?
Wewe huelewi, wanaangalia vifaa wanavyomiliki jeshi husika, hawaangalii tactics, Tanzania wangekuwa wababe wangepelekwa Somalia, Nigeria na Iraq. Na hao M23 hawakuwa peke yao, walienda kama ni miongoni mwa majeshi Ya umoja wa mataifa
 
Mkuu unadhani boko haram utani? Unadhani alshabaab utani? Nyie mko kwenye bench mnaweza analyse vizuri, lakini ukiwa kwa mechi, hapo ndipo utajua ugaidi haina utani, you'll get your serving one day.
Ni kweli boko haram si utani, pia alshabab na alqaeda, lkn ukitazama kwa undani, kwa nini jeshi lenye vifaa la Nigeria walikimbia kambi??
Tena bh siyo kama alshabab, wenyewe wanajulikana makambi yao, lkn bado jeshi la Nigeria limeshindwa kuwadhibiti.
 
Duh, wetumia vigezo gani? Basi nchi zingine zitakuwa ktk hali mbaya zaidi. Midawa ya kichina, madawa feki ya kujichubua kibao nchini, dah!
Hongera zao.
 
Wewe huelewi, wanaangalia vifaa wanavyomiliki jeshi husika, hawaangalii tactics, Tanzania wangekuwa wababe wangepelekwa Somalia, Nigeria na Iraq. Na hao M23 hawakuwa peke yao, walienda kama ni miongoni mwa majeshi Ya umoja wa mataifa
Kwani kuna nchi yoyote ambayo inapeleka majeshi yake peke yake kwenye mission???

Oooh nimekumbuka, TZ ilienda kumtoa kanali Bakary peke yake.
 
HAWA WAANDISHI WA CERTIFICATE OF JOURNALISM WANA SHIDA SANA. MTU ANAKWAMBIA RANKED 27th HUULIZI YEYE TAARIFA HIZO KAZIPATA WAPI? KUTUSAIDIA NA SISI TUONE NI VIGEZO GANI VINATUMIKA MPAKA TUWE HUKO.

VITA VYA KUZIVIANA KWENYE MILIMA VIMESHAPITWA NA WAKATI, SIKU HIZI NI TECHNOLOGY, TECHNOLOGY, TECHNOLOGY.

PILI HAYA MAMBO YA PROPAGANDA ZA KINA "COMICAL ALI" A.K.A "BAGHDAD BOB" HAVINA MAANA KABISA.

MTU YUKO SERIOUS KABISA 27th KWA UBORA DUNIANI, MTAFANYA WATUJARIBU HALAFU TUKAUMBUKA.
 
Back
Top Bottom