eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Sijakupata vizuri,jeshi ni zaidi ya vifaa na zana, vichwa ndio kila kitu. Niliona TPDF wakipasua matofali kwa kichwa nikaamini hata USA wachanga kwa TPDF lol
Lkn pia utii na uaminifu ndiyo nguzo muhimu sana za jeshi. Mfano Nigeria ina zana za kisasa kabisa lkn wakawakimbia wanamgambo wa boko haram.