TPDF ranks position 27 in the World!

Jamani tulieni acheni ubishi wa vitu msivyovijua..issue za military sio politics kila mtu ajikute anajua..tulieni bwana..
 
Hiyo michezo nimesema mimi sii takagi. Endeleeni tu huko mombasa. Mimi nina mke na watoto.
Sio tatizo kuwa wake na watoto, uoneshwe tu raha ambayo utakayo ipata kama unapumsugua mkeo
 
kupanda miti? jeshi la south, jeshi la misri? jeshi la nigeria?
Sasa nikuambie kitu,
Misri wana tatizo la udini mkubwa mpaka jeshi limekosa umoja.
Nigeria wana ukabila na udini jeshini, wanavurugana mpaka wanashindwa kuwakabili wanamgambo wa boko haram.
RSA wana ubaguzi, kuna movement ya kutaka majenerali wa Kiafrika wakamate nyadhifa za juu jeshini.
 
ss si bora hayo......hili je lilokuwa kama tawi la vijana la chama
 
Kwani Tanzania hakuna udini, Jana ulisikia Viongozi walivyokutana wakalisema suala hilo la udini na pia vile vile ukabila,nitajie general wa jeshi ukimuachilia mbali Abdallah Twalipo aliekuwa Muislam, na Nitajie general wa Majeshi alietoka Zanzibar, usiongee pumba Tanzania udini upo na ukabila upo
 
There is no tribalism in Tanzania. I'm talking that in relative, but not in absolute term.
 
There is no tribalism in Tanzania. I'm talking that in relative, but not in absolute term.
Upo, Sisi waunguja tunawabagua wapemba, wapemba wanawabagua wabara kama si ukabila ni nini,
Tujaalie ukabila hamna, utaniambia na udini hamna au?
 
........dah humu ni chai tuuu asseeeee......nasemaaa ni chai tuuu bila vitafunioooooo....!!!!!
 
Kwamba DRC wapo juu yetu na South Sudan tumewazidi nafasi mbili tu? Hapana bana. Wanaangalia vigezo gani hawa "watafiti"?

TPDF sio ya mchezomchezo na DRC surely hawatuzidi. Au wanaangalia idadi ya troops na sio quality ya wajeda?

Inawezekana sana hizi nchi masikini zenye vita kama DRC na South Sudan zikatuzidi uwezo wa kijeshi kwa sababu pesa yao nyingi wanatumia kununua silaha tofauti na sisi wenye amani pesa yetu inaelekezwa zaidi kwenye miradi ya maendeleo.
 
Upo, Sisi waunguja tunawabagua wapemba, wapemba wanawabagua wabara kama si ukabila ni nini,
Tujaalie ukabila hamna, utaniambia na udini hamna au?
Hapo mnatania tu mkulu, ubaguzi upo Kenya, Rwanda na Burundi. Kwingine ni maigizo tu hamna ukabila.
 
Rusia ipo asia ?
 
If what is posted here abt the TPDF has truth in it, then all i say is KUDOS.

However, the question as to who is more powerful than the other between Kenya and Tanzania cannot be known by photos only. (And is also quite irrrelevant since the two countries will not go to war against each other in the near for seeable future)

You see, unlike TZ which parades its Military hardware for the public, Kenya's Military chooses to be secretive about its acquisitions, making it hard to know exactly what they poses.

All in all, these two miliraries have witnessed tremendous growth and modernisation lately. As an East African I'm happy that the region is becoming more powerful in many ways.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…